Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 34,883
- 100,120
Hahaha alikuwa ananiudhi jamani, yani ananipondea kila ninachokifanya😁Jamaa hakutaka kukisifia hata kinafiki... alitakiwa akuite Shania Twain.... Whitney Houston wa bongo, au Gloria Estefan.. just to make you happy..
Na kukushangilia sana. Maisha bila unafiki hayaendi.... 😊