Niliwaambia Trump atashinda baada ya Clinton Email scandal!

Niliwaambia Trump atashinda baada ya Clinton Email scandal!

Siwapendi democratic kwa sababu ni mawakala wa shetani wakiongozwa na Obama
 
since day one on the race to the The White House the person who showed the sense of being the President is Donald Trump!!!!!!! his confidence, his fame, his personality....... there is no doubt that the man he is on way to the white house
I like his confidence
 
Trump ana ZERO chance ya kushinda uraisi and he will lose in the biggest landslide, ni mbululaz tuu wanaofikiri Trump anaweza kushinda uraisi
 
Trump ana ZERO chance ya kushinda uraisi and he will lose in the biggest landslide, ni mbululaz tuu wanaofikiri Trump anaweza kushinda uraisi
Wewe acha uongo Trump anaweza ishutua Dunia
 
You don't know American politics kaa kimya
We ndio ujui wewe ni kama nani wamarekani hawawezi kuwa na vichwa vya panzi kama wewe unapopina jambo njoo na argument lasivyo utaonekana mjinga!!!
Poll ya kura ya maoni imekuwa ikiongezeka kwa Trump na kushuka kwa Hillary kila week alafu bado unabisha
Anything can happen in 2016 Us election
 
Mimi napiga kura wewe na kichwa chako cha panzi hupigi mbona nibishane na wewe mbululaz
 
Yaani siamini kuna vishoia ambao hamuoni mbaya akishinda trump kama akipata nchi ndugu wasio na uhali wawe na uhali watarudi kwenda marekani ovyo hamuendii misaada hampatii kila kitu ila kwa maana una ushabikii wakishoia omba apate uojionee neema ile ni nchi dunia inategemea
 
Back
Top Bottom