technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,680
- 58,686
Check out @realDonaldTrump's Tweet:
Sasa hivi mambo yanaanza kubadilika taratibu baada ya Russia kutoa email zilizoonyeasha Hillary alipendelewa dhidi ya Ben Sander
Sasa mambo yamebadilika wafuasi wa Ben Sanders wameanza kumunga mkono Trump na sasa nawaona Wamarekani wakibadilisha mawazo yao taratibu na kumchagua dicteta mwingine kutoka Republican