Niliwaambia Trump atashinda baada ya Clinton Email scandal!

Huu ni msimu wa republican wamarekani hawana historia ya chama kimoja kuongoza kwa misimu mitatu mfululizo hope democratic wanamsindikizan republican.Kwa wenye mtizamo mpana wanafahamu fika republican kupitia kwa trump wemeshashinda
 
Dunia hawezi kumpa nchi huyu mtu ana mapungufu mengi. Amiri Jeshi Mkuu ya Foreign Policy zinamsumbua sana. Blacks na Mexican watamliza huyu bwana. Anatapatapa sasa kutafuta kura zao lakini ameshalikoroga sana. Clinton atachukua nchi.
 
Yaan issue ya foreign policy ndo itamnyima nchi huyu jamaa......kote kazngua ila sera za mamb ya nje ndo kawakera american thinktanks
 
Kwani marekani kuna tume huru ya uchaguzi?
Kama haipo clinton atashinda kwa landslide
 
Dunia hawezi kumpa nchi huyu mtu ana mapungufu mengi. Amiri Jeshi Mkuu ya Foreign Policy zinamsumbua sana. Blacks na Mexican watamliza huyu bwana. Anatapatapa sasa kutafuta kura zao lakini ameshalikoroga sana. Clinton atachukua nchi.
Kama mlivyompa Magufuli ndicho kitakachotokea
 
Dunia hawezi kumpa nchi huyu mtu ana mapungufu mengi. Amiri Jeshi Mkuu ya Foreign Policy zinamsumbua sana. Blacks na Mexican watamliza huyu bwana. Anatapatapa sasa kutafuta kura zao lakini ameshalikoroga sana. Clinton atachukua nchi.
Lakini ameanza kulegeza msimamo sasa hivi awashambulii sana waamiaji

Yaan issue ya foreign policy ndo itamnyima nchi huyu jamaa......kote kazngua ila sera za mamb ya nje ndo kawakera american thinktanks
 
Dunia hawezi kumpa nchi huyu mtu ana mapungufu mengi. Amiri Jeshi Mkuu ya Foreign Policy zinamsumbua sana. Blacks na Mexican watamliza huyu bwana. Anatapatapa sasa kutafuta kura zao lakini ameshalikoroga sana. Clinton atachukua nchi.
Marekani kwa sasa haipo tayari kuongozwa na rais mwanamke
 
since day one on the race to the The White House the person who showed the sense of being the President is Donald Trump!!!!!!! his confidence, his fame, his personality....... there is no doubt that the man he is on way to the white house
 
Back
Top Bottom