Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,118
Ubora wa Hillary ni nini!!?Sisitimu ya huko haitakubali tirampu aingie hapo nyumba nyeupe. Au akishinda, anaondolewa kama Kenedi. Marekani ingekua salama zaidi kama Ben Sanders angeshinda, I admire that man, ni kichwa haswa. Ila Bora mara kumi elfu, Hilary kuliko Trump.