Nilivyoteswa na Uchawi wa Sumbawanga!-24
ILIPOISHIA
Sijui baada ya kile kitendo cha kubonyezwa matiti nini kitafuata, nilishtuka msukule mmoja, yule ambaye aliniachanisha miguu kwa nguvu, akianza kuniingilia . Bila shaka njia haikuwepo, kwa hiyo alilazimisha. Niliumia mno siku hiyo na nilichanika na kutokwa na damu nyingi.
Wale misukule waliendelea na michezo yao, wakawa wananishika wanavyotaka, wananitomasa wapendavyo. Sikuwa na kitu cha kuamua katika mwili wangu. Hata hivyo, yote waliyotenda yalikuwa tisa, kumi ndilo lililoniumiza na kuniachia kumbukumbu mbaya mno kwa maisha yangu.
Msukule mmoja ulioniingilia kimapenzi, siyo tu kwamba ulinipa maumivu bali pia uliniachia majeraha makubwa sehemu zangu za siri. Kimsingi ile michezo yao haikunisaidia kwa chochote, zaidi iliniongezea hofu kubwa ndiyo maana hata sikuweza kulowana angalau kidogo.
Ukavu niliokuwa nao ulisababisha nichanike kadiri ule msukule ulipolazimisha kuingia kwa nguvu. Kwake ilikuwa furaha, uso wake haukuficha kitu. Alipiga kelele za kufurahia tendo lile, ni dhahiri kwamba alikuwa na muda mrefu bila kupata huduma hiyo ya kimwili.
Dakika si nyingi akawa amemaliza haja zake. Hasira zaidi ziliongezeka kwa sababu haja zake alizimalizia ndani kwangu. Nilijisikia kinyaa kwa kitendo kile. Yaani msukule anaingiza uchafu wake ndani kwangu? Pamoja na hisia hizo lakini sikuwa na uwezo wa kufanya lolote.
Alipomaliza huyo, akaja mwenzake ambaye kipindi ambacho msukule wa kwanza unanishughulikia, wenyewe ulikuwa unajishughulisha na matiti yangu pamoja na kuninyonya shingo. Ulipoanza kuniingilia ilikuwa balaa kwa sababu ulitonesha yale maeneo ambayo nilichanwa na yule wa kwanza.
Nao haukuchukua muda mrefu ukawa umemaliza. Ile misukule baada ya kuniingilia kimapenzi, ilijitupa pembeni na kutweta kwa nguvu. Pamoja na hivyo, haikuficha furaha yao, kwani kuna wakati iliangaliana, halafu ikagongesheana viganja ikiwa ni ishara ya kupongezana.
Nilipeleka mkono sehemu zangu za siri, nikakuta damu zinatoka lakini kulikuwa na mchanganyiko wa mbegu za wale misukule. Walimwaga uchafu mwingi ambao kutoka ndani, ulichuruzika mpaka nje, kwa hiyo niliposhika na kugundua hilo, kinyaa kiliongezeka.
Majuto yaliyotokana na hisia za kuona nadhalilishwa bila kosa, nikifanywa mnyama katika jamii ya wanyama, nikifanyishwa mapenzi na viumbe wa ajabu, yalinisumbua mno. Majuto ni mjukuu hiyo inajulikana, kwahiyo sikuwa na cha kufanya zaidi ya kusonya mara kwa mara huku nikitikisa kichwa.
Wale misukule walipoona natikisa kichwa na kusonya, waliangua kicheko halafu wakagongesheana viganja. Bila shaka walipongezana, furaha yao ilikuwa rahisi kuitafsiri kwamba walijiona wajanja kwa kunikomoa. Tambo zao zikawa zinazidisha unyonge kwa upande wangu, machozi yakatiririka mashavuni.
Nikiwa nalia kwa unyonge, nilishtushwa na kelele za watu wakipigwa. Maskini kumbe ni wale wavulana. Nilichokuja kugundua ni kwamba wale misukule wa kike walipotaka kufanya mapenzi na wale wavulana ilishindikana. Hawakuwa na hisia kabisa, kwahiyo viungo vyao vilisinyaa.
Kutokana na hali hiyo, wale misukule wa kike walishindwa kutimiza haja zao za kimapenzi kwa wale wavulana ndiyo maana waliamua kuwashushia kipigo. Walilia sana lakini hakuna aliyewahurumia. Mimi nilijihisi nina wajibu wa kuwasaidia lakini uwezo wangu wa kupambana ulikuwa mdogo, kwahiyo nilitulia bila kufanya kitu.
Misukule wengine nao waliunganisha nguvu, wakaendelea kuwashambulia wale wavulana ambao kwa hakika hawakuwa na kosa lolote. Ni nani ambaye anafurahia mapenzi ya kulazimishwa? Tena kwa viumbe wa ajabu kama wale ambao muonekano wao ulitisha na walinuka vibaya kupita kiasi.
Kwetu sisi wanawake ilikuwa rahisi kwa sababu ya maumbile yetu. Lakini mwanaume hawezi kufanya kazi endapo bakora yake haijaweza kusimama barabara. Haitaweza kucharaza kwa namna yoyote ile. Uingiaji wake kisimani hutegemea na utayari wake, na hicho ndicho kilichowatokea wale wavulana.
Misukule ilinuka vibaya, ilitisha kwa muonekano wao, kwahiyo badala ya kuwapa hisia kwa namna ambavyo waliwachezea, ikawa wanawapa hofu. Bakora badala ya kunyanyuka ziweze kucharaza, zilisinyaa. Wale misukule kwa akili yao mbaya, hawakulijua hilo, waliamini wamefanyiwa makusudi.
Waliwapiga sana na hawakuchagua eneo. Wao sehemu yoyote waliona sawa. Wale wavulana walipiga kelele ambazo hazikuwasaidia kitu. Mara mmoja wao akanyamaza. Alipoteza fahamu baada ya kuzidiwa na kipigo lakini wale misukule waliendelea kumpiga mfululizo. Hawakujali hata kidogo.
Nilishtushwa na kuacha kufuatilia tukio hilo, baada ya kusikia navutwa ardhini. Nilipoangalia nilikuta sehemu ya miguu yangu imezama kwenye udongo. Hakukuwa na shimo, ilikuwa ni ardhi ya kawaida ila nilivutwa. Kutahamaki nikafika kwenye magoti, ikawa utadhani nimeoteshwa ardhini.
Itaendelea
Nilivyoteswa na Uchawi wa Sumbawanga!-25
Nilishtushwa na kuacha kufuatilia tukio hilo, baada ya kusikia navutwa ardhini. Nilipoangalia nilikuta sehemu ya miguu yangu imezama kwenye udongo. Hakukuwa na shimo ilikuwa ni ardhi ya kawaida ila nilivutwa. Kutaharuki nikafika kwenye magoti, ikiwa utadhani nimeoteshwa ardhini.
Sasa endelea...
Niliendelea kuvutwa mpaka nikafikia tumboni. Ardhi ilinikamata kwelikweli. Hata hivyo, haikuwa uamuzi wangu. Kilichotokea kwangu ilikuwa ni kupelekwapelekwa. Nilizidi kuzama ardhini mpaka nikafikia usawa wa mabega. Kufikia hapo nikakata tamaa, kwani nilijua kwa kufukiwa na kichwa, ingemaanisha mwisho wangu.
Nilijua nazama mzima mzima halafu hapo hakutakuwa na mtu anayeitwa Helena. Nilijua wachawi waliamua kutumia njia hiyo ili nife na kunizika moja kwa moja. Hata hivyo, kadiri kichwa kilivyokuwa kinakaribia kwenye udongo, ndivyo na mimi nilivyokosa raha. Picha niliyokuwa nayo ni kwamba nazikwa nikiwa hai.
Hofu iliongezeka pale kidevu kilipogusa ardhi. Nikajitahidi kutumia mikono ambayo kwa wakati huo ilikuwa inaelea juu, kuisimika chini ili nisiendelee kuzama na kupata madhara zaidi lakini ilikuwa utadhani ndiyo nimeongeza kasi, kwani kichwa chote kilizama chini kabla ya mikono kufuatia.
Awali nilijua kuwa kichwa kikizama nitashindwa kupumua kwa sababu udongo ungeniminya na hata macho nisingefumbua. Kilichotokea chini ni kinyume kabisa na matarajio yangu. Chini ya ardhi kulikuwa na dunia nyingine kabisa. Sijui ni kuzimu au ni wapi ila nilikuta maisha mengine.
Niliona watu wa ajabu ambao walikuwa wanatembelea vichwa miguu juu. Hawakuona ugumu wowote. Hapo niliona ni miujiza, kwahiyo nikaangalia nafasi yangu ya kukaa halafu nikaanza kuwaangalia mmoja baada ya mwingine. Mtu wa kwanza kumjua ni baba. Moyo ukapiga paa!
Maskini ya Mungu naye alikuwa anatembea kichwa chini miguu juu. Nilitaka kuinuka nimfuate nikashtuka miguu imefungwa na mnyororo halafu nikaanza kuvutwa kuelekea upande wa kushoto kwangu. Niliingizwa kwenye chumba kimoja chenye mlango wa chuma, nikakutana na viumbe wa ajabu mno.
Hapa niseme kitu kimoja kuwa ile michoro ambayo humuelezea Shetani kama kiumbe mwenye umbo la kutisha na lisilo katika mfumo maalum, nadhani huwa wanachukua sura na maumbile ya wakuu wa wachawi, kwa maana siku hiyo nilijionea kwa macho yangu. Kutazama tu, nilihisi nabanwa haja kubwa na ndogo.
Dubwasha kubwa lenye mkia mrefu lilikaa mbele yangu kwenye kiti kama mfalme. Kuonesha huyo ndiye kiongozi wao wote, wale wengine ambao walikuwa sita walimzunguka kila upande, kwahiyo ikawa inajieleza waziwazi yeye ndiye mkuu. Na hata alipoanza kuzungumza wengine wote walinyamaza kwa unyenyekevu.
Nami kwa uoga, nikatulia bila kufanya chochote. Nasema nilitulia kwa sababu sikujishughulisha na chochote. Lakini ukweli ni kuwa sikutulia kwa maana halisi, kwani nilitikiswa mno kutokana na jinsi nilivyotetemeka. Sauti yenye mwangwi, ilizidi kuniongezea hofu. Almanusura nikimbie lakini mnyororo mguuni ulikuwa tatizo.
Ile sauti yenye mwangwi iliniuliza ni kwanini nipo pale, hata hivyo sikuweza kujibu. Siyo kusema ni kwa kiburi, bali hata sikujua nimeulizwa nini. Akili yangu ilikuwa inasafiri maili nyingine mno. Nilishtushwa pale ilipohoji tena: "Binti unajua kwanini upo hapa?" Badala ya kujibu nilijikanyaga: "Unasema... mimi, eeeh... mimi?"
"Nikuulize mara ngapi wewe binti?" Hapo nilitaka kujitutumua kujibu lakini kabla sijafunua kinywa alitokea mzee Balinaba akiwa anatabasamu. Alikwenda mbele ya lile dubwasha, akainama kama ishara ya kusalimia kwa unyenyekevu. Alipomaliza hapo, bila kunisemesha alikwenda kukaa pembeni.
"Haya jibu upesi," lile dubwasha liliamrisha.
"Eeeh... mimi... mmh, sijui," nami nilijibu nikiwa nina wasiwasi huku macho yangu yakimuangalia mzee Balinaba.
"Umekuwa una tabia mbaya sana binti," lile dubwasha lilizungumza halafu likaongeza:
"Unamsaliti mumeo na kwenda kuwapa siri watu wa upande wa pili. Mara mbili kaangushwa angani ilikuaje akakukuta macho? Leo utajua kosa lako," lilizungumza kwa sauti kali yenye kuashiria mamlaka. Hapo alimaanisha anachokisema yeye hakuna mpanguaji.
Pale pale nilipokuwa, sikuona mtu ananikaribia wala chochote, lakini ghafla ule mnyororo uliokuwa umenizingira, ulijifungua nikabaki huru. Sikuona mtu akinifungua isipokuwa wenyewe tu uliachia. Sikushangaa kwa sababu pale nilipokuwa ni kwenye himaya ya wachawi, kwani hata kufungwa hakuna aliyenifunga isipokuwa nilijikuta tu.
Nikajikuta tena nabebwa mpaka kwa lile dubwasha. nilikalishwa mbele yake na sekunde 10 nyingi nikawa nimezingirwa na kamba ambazo ziliunganishwa kwenye mwili wa lile dubwasha. Nilitaka kujua hukumu yangu haraka, na kufikia hapo nikawa natamani waniadhibu nife ili nipumzike. Sikutaka kuendelea kuteseka.
Kabla hajafanya chochote, lile dubwasha lilimuuliza mzee Balinaba ni adhabu gani inayonifaa? Akamjibu: "Baba wa mpangulimo, utakavyo wewe nami nitakubaliana nayo." Kusikia hivyo lile dubwasha likacheka sana, tena kwa sauti ya juu iliyoumiza masikio yangu. Mapigo ya moyo yakawa yanaenda kasi. Ni wazi adhabu iliyofuata ilikuwa kubwa kuliko zote zilizotangulia.
Itaendelea[h=1]Nilivyoteswa na Uchawi wa Sumbawanga!-26[/h]Lile dubwasha liliendelea kunifanya niwe na mchecheto mwili mzima. Lilinitisha kwa kila namna! Nikabaki mnyonge na sikujua ni uamuzi gani ambao angeuchukua dhidi yangu. Kama ujuavyo msomaji, unapokuwa mbele ya adui mwenye nguvu nyingi, huwezi kufanya lolote zaidi ya kungoja atakachoamua.
Ghafla, upepo mkali ulivuma pale ndani, sekunde chache baadaye moshi mweusi mno ukatanda. Ule moshi ukawa unajikusanya taratibu na katikati yake, ikaibuka sura ya binadamu mwanaume.
Akaniangalia kwa ukali halafu akaniambia kuwa wananipa mateso mengi kwa sababu mama yangu alijifanya mjanja.
"Mama yako anataka kupambana na sisi, kwahiyo tutakupa mateso makali yatakayokuumiza sana.
Tunamtafuta hatumuoni, na inavyoonekana kuna sehemu kafichwa na watu fulani wanaodhani wana nguvu nyingi kuliko sisi, tutapambana na kushinda na kumtia mama yako kwenye himaya yetu kama ulivyo wewe," alisema mtu huyo wa moshi."Umesikia?" lile dubwasha liliuliza, nami nikageuza shingo kuliangalia.
Nikalikuta limekunja ndita. Niliona hivyo nadhani ni kwa hisia kwa sababu sura yake sikuwa naijua kabisa. Sikufahamua anapocheka anakuaje, akitabasamu au akinuna. Hata pale niliposema alicheka, nilifanya kukisia, kwani nilisikia kelele!
Yule mtu wa kwenye moshi akaendelea: "Dawa ni kuendelea kukutesa mpaka tutakapompata mama yako, tumtese ukishuhudia, tukutese akishuhudia. Tumkate viungo mbele yako, tukupunguze na wewe viungo vyako mbele yake, halafu tumuue ukiona. Huo utakuwa ni mfano wa kunyooka kwa wengine."
Alipomaliza kusema hivyo alitoweka. Nikasikia muungurumo wa kama mapipa yanasukumwa. Zile kelele za mapipa nikawa nazisikia zinakuja usawa wangu. "Mungu wangu!" Nilijikuta natamka maneno hayo kwa uoga baada ya kushuhudia kiumbe wa ajabu ambaye sijawahi kuona mfano wake hata kwenye sinema za kutisha.
Alikuwa ni nusu mtu, nusu binadamu mwanamke. Kwa upande wa nyoka alikuwa ni mkubwa kuliko yeyote ambaye nimewahi kumshuhudia. Upande wa mtu, pia ni tukio la kutisha. Kwa kifupi, kukiona tu hicho kiumbe, nilikamatika kupita kiasi, achilia mbali kwamba alikuwa ananikaribia huku macho yake akiyaelekeza kwangu.
Aliingia mpaka mwisho, kilichofuata baada ya hapo ni mkia wake. Ilichukua takriban dakika 20 kuingia wote na kumalizika, halafu akaanza kujikunja taratibu. Kwa kifupi baada ya kujikunja, alienea nusu ya chumba kizima, ingawa kilikuwa kikikubwa mno. Mwanzo nilidhani lile dubwasha ni kubwa lakini huyo alipoingia akawa funga kazi.
Kwa kumuelezea huyo mtu nyoka ni kwamba macho yake yalikuwa mekundu ya damu halafu mboni zake zilikuwa nyeupe. Mdomo na pua vipo kawaida lakini nywele zake zilikuwa za ajabu mno. Walikuwa ni nyoka wengi wadogo wadogo ambao waliangukia mgongoni kwake na kufunika masikio yake.
Kiwiliwili ni cha kawaida mpaka kiunoni. Alikuwa mtupu, kwahiyo hata matiti yake na kitovu vilionekana, lakini baaada ya hapo ni umbile kubwa la nyoka. Kubwa na pana ajabu. Sikujua ni kitu gani ambacho kingefuata baada ya hapo. Nilimuangalia Yule mtu nyoka, alikuwa na ukubwa wa kutisha.
Jinsi alivyokuwa amejikunja, kuinua kichwa na kumtazama kwa sekunde 25 mfululizo ni adhabu tosha, kwahiyo nikawa namuangalia kwa kuibia ibia. Sekunde chache halafu nainamisha kichwa. Nikikumbuka, nalitazama lile dubwasha halafu nageukia kwa mtu nyoka kwa mara nyingine.
"Helena!" Yule mtu nyoka aliita kwa sauti nyembamba ya kike. Nikainua kichwa kumuangalia lakini akaniita tena: "Helena!" Hapo nikajilazimisha kuitika: "bb… bbe… " Nilipatwa kigugumizi wakati wa kuitika. Ni kigugumizi cha hofu. Nilijihesabu ni mtu mwenye bahati mbaya kuliko wengine wote duniani.
"Ulipoingia humu ndani ulimuona baba yako?" Aliniuliza: "Nd..nnnd… iyo…" niliitika katika hali ile ile ya kubanwa na kigugumizi. Ni kweli nilimuona baba lakini akiwa katika hali isiyo ya kawaida. Alikuwa anatembea kichwa chini, miguu juu. Na nilimuona baada ya kuingizwa mle ndani na ule mnyororo wa ajabu.
"Na mama yako tutamleta hapa. Baba yako ni mtumwa wetu tayari. Huko duniani wanajua amekufa, kumbe yupo hai kwenye himaya, yetu na tulimchukua katika mazingira yetu," alisema mtu nyoka. Na hapo hapo nikawakumbuka wale waliokuja kumshambulia mzee Balinaba kuwa waniache nikamzike baba.
Hapo nikasadiki kwamba ni kweli baba yangu alikuwa amekwishauawa katika mazingira ya ajabu, ingawa alibaki kwa wachawi. Wakimtumikisha kufanya kazi zao wanavyotaka, wakimuadhibu wanavyotaka. Na sasa wameahidi kumleta mbele yangu na mama ili wamfanyie unyama mbele yangu nikishuhudia. Sikutaka hilo litokee ila nikajiuliza: "Pale ni wapi?"
Itaendelea
Nilivyoteswa na Uchawi wa Sumbawanga!-27
Msomaji mpya
Baba alikubali posa ya mzee mchawi, mzee Balnabas (Balinaba) na hivyo ikawa chanzo cha mateso. Nilikumbana na masaibu mengi duniani sijui kama kuna mauza uza ya kichawi sikuyashuhudia mimi Helena, naujua uchawi, niliuona na ukanitesa! Mungu akulaze pema baba yangu kwa sababu mzee Balinaba alikuua, lakini mama yangu shujaa alipambana kuniweka huru.
Ilipoishia
Hapo nikasadiki kwamba ni kweli baba yangu alikuwa amekwishauawa katika mazingira ya ajabu, ingawa alibaki kwa wachawi. Wakimtumikisha kufanya kazi zao wanavyotaka, wakimuadhibu wanavyotaka. Na sasa wameahidi kumleta mbele yangu na mama ili wamfanyie unyama mbele yangu nikishuhudia. Sikutaka hilo litokee ila nikajiuliza: "Pale ni wapi?"
Sasa endelea...
Kiwiliwili ni cha kawaida mpaka kiunoni. Alikuwa mtupu, kwahiyo hata matiti yake na kitovu vilionekana, lakini baada ya hapo ni umbile kubwa la nyoka. Kubwa na pana ajabu. Sikujua ni kitu gani ambacho kingefuata baada ya hapo. Nilimuangalia Yule mtu nyoka, alikuwa na ukubwa wa kutisha.
Jinsi alivyokuwa amejikunja, kuinua kichwa na kumtazama kwa sukunde 25 mfululizo ni adhabu tosha, kwahiyo nikawa namuangalia kwa kuibia ibia. Sekunde chache halafu nainamisha kichwa. Nikikumbuka, nalitazama lile dubwasha halafu nageukia kwa mtu nyoka kwa mara nyingine.
"Helena!" Yule mtu nyoka aliita kwa sauti nyembamba ya kike. Nikainua kichwa kumuangalia lakini akaniita tena: "Helena!" Hapo nikajilazimisha kuitika: "bb… bbe… " Nilipatwa kigugumizi wakati wa kuitika. Ni kigugumizi cha hofu. Nilijihesabu ni mtu nina bahati mbaya kuliko wengine wote duniani.
"Ulipoingia humu ndani ulimuona baba yako?" Aliniuliza: "Nd..nnnd… iyo…" niliitika katika hali ile ile ya kubanwa na kigugumizi. Ni kweli nilimuona baba lakini akiwa katika hali isiyo ya kawaida. Alikuwa anatembea kichwa chini, miguu juu. Na nilimuona baada ya kuingizwa mle ndani na ule mnyororo wa ajabu.
"Nana mama yako tutamleta hapa. Baba yako ni mtumwa wetu tayari. Huko duniani wanajua amekufa, kumbe yupo hai kwenye himaya, yetu na tulimchukua katika mazingira yetu," alisema mtu nyoka. Na hapo hapo nikawakumbuka wale waliokuja kumshambulia mzee Balinaba kuwa aniache nikamzike baba.
Hapo nikasadiki kwamba ni kweli baba yangu alikuwa amekwishauawa katika mazingira ya ajabu, ingawa alibaki kwa wachawi. Wakimtumikisha kazi zao wanavyotaka, wakimuadhibu wanavyotaka. Na sasa wameahidi kumleta mbele yangu na mama ili wamfanyie unyama mbele yangu nikishuhudia. Sikutaka hilo litokee ila nikajiuliza: "Pale ni wapi?"
Nikiwa nafikiria jinsi nitakavyoweza kukabili hali ya mambo, nilishikwa na kizunguzungu cha ajabu, nikadondoka chini na kupoteza fahamu kwenye miguu ya yule mtu nyoka.
Nikiwa nimepotea usingizini. Kuna ndoto ya ajabu iliniijia. Kwamba nipo kwenye msitu mkubwa natembea lakini ghafla nikakuta shimo refu ajabu ambalo liligawa sehemu niliyokuwepo na upande wa pili.
Nilipogeuza shingo kuangalia nyuma upande niliokuwepo, niliona chui anakuja kwa hasira. Nilipogeuza shingo mbele ya lile shimo nikamuona mama akiwa ameinua mikono kama ishara ya kuniambia niende anikumbatie.
Huku nyuma nikasikia yule chui anapiga kelele na nilipogeuza shingo akawa amenikaribia kabisa. Yaani tayari kwa kunishambulia. Nilipiga kelele kwa nguvu, kwani hatari ilikwishasogea lakini nilipomuangalia mama akawa anaendelea kutabasamu.
Mapigo ya moyo yakawa yanaenda mbio na kuna wakati niliingiwa na wazo la kurukia kwenye lile shimo, hata hivyo nilipogeuka tena kumuangalia yule chui, alikuwa amezuliwa na watu wengi waliovaa mavazi meupe.
Sikujua tafsiri ya kilichotokea, nikabaki nashaangaa. Wale watu wakawa wanaongezeka na kumfanya chui asinisogelee kabisa. Zaidi nikawa simuoni. Mapigo yangu ya moyo yakapungua, sasa nikaojiona nipo katika mazingira salama.
Ghafla mama alitoweka na nilipoangalia nyuma yangu wale watu wenye mavazi meupe juu mpaka chini ambao waliniokoa na chui hawakuwepo. Nikitafakari walipokwenda, nikamuona mtu mkubwa ambaye sijapata kumuona maisha yangu.
Alikuwa na kichwa kikubwa, jicho moja kubwa katikati, pua kubwa halafu alikuwa mrefu kama mnazi. Urefu wake naweza kuukadiria ni mita 12. Alikuwa anatembea kwa hatua za taratibu na alivyonisogelea ndivyo nilivyomuona akiongezeka ukubwa.
Nilipomuangalia vizuri, jicho lake lilikuwa likitoa cheche za moto kila alipokapua. Kwa woga nilipepesuka na almanusura nitumbukie kwenye lile shimo kubwa. Akanikaribia lakini nikiwa nasubiri mateso, mama akatokea na kuniagiza nikatae kila kitu atakachosema mtu huyo kisha akapotea.
Itaendelea