illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
Tangu kuanza sinema hii ya madawa ushiriki wa Mwigulu umekuwa wa chini chini kwa sababu ana uzoefu na ukomavu wa michezo ya siasa.
Nakumbuka kipindi kile alikuwa analalamikiwa kwa kuwapandikizia CHADEMA kesi za ugaidi, sasa huyu Waziri wa Sanaa na Michezo amefanya jukumu ambalo si lake.
Hili swala linahususha usalama wa ndani ya nchi, ilibidi Waziri wa Mambo ya Ndani ndiye ahangaike. Hata Tume iliyoundwa Wanahabari ilibidi washirikishwe tu, maskini Nape akajiingiza mzima mzima.
Nape huyuhuyu wa Bunge live? Nape huyu huyu ambaye uteuzi wake ulipingwa na kukemewa leo anatetewa?