Nilivyonusurika kuuawa na aliyekuwa mke wangu kutoka kanda ya ziwa

Nilivyonusurika kuuawa na aliyekuwa mke wangu kutoka kanda ya ziwa

mkunga wa jadi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2025
Posts
208
Reaction score
431
Hawa watu kutoka kanda ya ziwa ni wakatili sana hasa hasa wanawake yaani ukitaka kuona dunia chungu au ndoa ni chungu oa mwanamke kutokea kanda ya ziwa aisee mimi niliona cha mtema kuni nusura aniue kisa mali tu ambazo yeye amenikutana nazo aisee kwanza hawa wanawake toka kanda ya ziwa anawqsikiliza kaka zao kuliko waume zao ukitaka kujikosa oa wanawake kutoka kanda ziwa yaani ilikuwa kidogo mwanamke anichome kisa kisa mali tu yaani daa watu wa shinyanga, Geita Mwanza na Simiyu hawa wanawake ni katili sana aisee
 
Mkuu dont generalise kanda ya ziwa ni kubwa na inanakabila zaidi ya 50, na kila kabila na tabia zao kwa mfano mke mkuria sio sawa kitabia na Musukuma au mnyamwezi, Mhaya ana tabia zake na Mjita wana tabia zao kwahiyo kama wewe ulioa Mnyamwezi usifikiri wote wako hivo.
 
Hawa watu kutoka kanda ya ziwa ni wakatili sana hasa hasa wanawake yaani ukitaka kuona dunia chungu au ndoa ni chungu oa mwanamke kutokea kanda ya ziwa aisee mimi niliona cha mtema kuni nusura aniue kisa mali tu ambazo yeye amenikutana nazo aisee kwanza hawa wanawake toka kanda ya ziwa anawqsikiliza kaka zao kuliko waume zao ukitaka kujikosa oa wanawake kutoka kanda ziwa yaani ilikuwa kidogo mwanamke anichome kisa kisa mali tu yaani daa watu wa shinyanga, Geita Mwanza na Simiyu hawa wanawake ni katili sana aisee
bora ulitaje kabila hilo kuliko kujumuisha makabila yote ya kanda ya ziwa..Ngoja wajuzi waje.
 
Inashangaza unatoa tuhuma nzito bila ushahidi na Kanda ipi inafaa nasi tukushauri?
 
Pimbi wee nenda kaoe kanda yenu huko usitafute kiki za kishamba

Si ajabu hata kanda ya ziwa hujawahi fika au kuishi pimbi wee kiazi kitamu!
 
Hivi leo watu humu mnashida gani yaan mada za kanda ya ziwa zimejaaa tumewakosea nn
 
Jamaa jinga sana hili lililoleta uzi, sijui lilisomea shule gani likaambiwa kanda ya ziwa ni Shinyanga, Geita, Mwanza na Simiyu. Haya majitu ndio yanayofanya nchi inakua na population kubwa kumbe majinga ni mengi pia .
We una akili mpuuzi wewe toka hapa kwenye nyuzi za wanaume shoga wewe
 
Pimbi wee nenda kaoe kanda yenu huko usitafute kiki za kishamba

Si ajabu hata kanda ya ziwa hujawahi fika au kuishi pimbi wee kiazi kitamu!
Mpaka nimewahi kumla dada yako hapo kwenye machimbo kakola mbwa wewe
 
👉 NILIVYONUSURIKA KUUWAWA MARA 2 NA MWANAMKE WANGU WA ZAMANI MUHA

1. Siku moja usiku ulitokea mgogoro kati yangu na yeye, bahati mbaya sana yule muha alikuwa akikasirika hata hekima hana na wala haogopi mtu yeyote. Anaweza akafanya matukio ya kijinga sana mpk aibu kwangu, mgogoro ulianza saa 4 usiku baada ya mimi kumuuliza jambo fulani na akanijibu hovyo, tulirushiana maneno ye akiwa amekaa chini mimi nipo kitandani nimejilaza, baada ya malumbano ya muda mrefu mi nikapitiwa na usingizi eeeeh nilikuja kushitushwa na kalamu ya biki ikichoma tumboni na kwa bahati nzuri nilikuwa nimejifunika shuka nzito hivyo ile pen ilichoma ikashindwa kupenya ikakatika, sa fikiria bic pen umchome nayo mtu ishindwe kupenya mpaka ikatike.
Maana yake kama nisingekuwa nimejifunika shuka hilo na npo kifua wazi pengine ningekufa siku hiyo usku mnene hapo inasoma saa nane usku.

2. Siku moja usku ulitokea mzozo kama kawaida alikuwa mtata mwenye dharau na mjeuri sana, ilikuwa usku tumelala vema kwa mgogoro, mi nilikuwa naamka alfajiri kuwahi kazini si mnajua mambo ya dsm.
Nimemaliza kujiandaa mida ya saa kumi alfajiri, nikafungua mlango nikatoka eeeh 😡 kumbe ile nmepiga hatua kadhaa tu mbele nashangaa chupa la uji wa mtoto linanipta kichwani na kuanguka mbele yangu, kisha nasikia matusi na maneno leo nongekuuua mbwa ww akafunga mlango, maana yake kama ile chupa ingenipata kwenye kichogo basi sjui ingekuaje sku hiyo.
 
Chupa ya uji ULIKUA unamnywesha mtoto WA WATU uji? Anyway tusikie na UPANDE WA pili Sasa konnekt NAE atujuze KUHUSU wewe
 
Pole Mkuu kwa hayo uliyopitia kutoka kwa mkeo

Ila ingefaa iwapo ungetupa kisa kizima, Nini hasa kilichotokea kupelekea mkeo afanye jaribio la kutaka kukuua.

Kama ni suala la mali, Wanawake kutoka makabila tofauti Tanzania, nao wanaweza kufanya hayo akihisi hakuna security ya watoto wake kwenye ulichonacho

Akina umezalisha Wanawake wengine nje, anaweza kukupoteza ili awe na uhakika wa urithi kwa watoto wake

Tuishi nao kwa akili
 
We una akili mpuuzi wewe toka hapa kwenye nyuzi za wanaume shoga wewe

Haaahaaha, nilijua tu shule yako ndogo wewe mpuuzi. Una = Huna, hata kiswahili shida 😀😀😀umekimbilia kwenye ushoga, kanda ya ziwa kubwa wewe pimbi sio Shinyanga, Geita, Mwanza na Simiyu kajielimishe kidogo uache kuja kuanzisha upuuzi huku kwa great thinkers. Nyanokho bhebhe.
 
Hawa watu kutoka kanda ya ziwa ni wakatili sana hasa hasa wanawake yaani ukitaka kuona dunia chungu au ndoa ni chungu oa mwanamke kutokea kanda ya ziwa aisee mimi niliona cha mtema kuni nusura aniue kisa mali tu ambazo yeye amenikutana nazo aisee kwanza hawa wanawake toka kanda ya ziwa anawqsikiliza kaka zao kuliko waume zao ukitaka kujikosa oa wanawake kutoka kanda ziwa yaani ilikuwa kidogo mwanamke anichome kisa kisa mali tu yaani daa watu wa shinyanga, Geita Mwanza na Simiyu hawa wanawake ni katili sana aisee
Wairaq, wachaga, wanyakyusa.

Na wao wanatoka kanda ya ziwq?

Zamani ilikuwa rahisi kuhusianisha tabia za watu fulani na makabila/maeneo wanayotoka kwasababu watu walikuwa wanaoana wao kwa wao na ziara za nje ya maeneo yao ilikuaa anasa. Siku hizi mtu anatoka mtwara anaenda kuoa Mwanza ama anatoka arusha anaenda kuoa kigoma.
 
Back
Top Bottom