Nilivyonusurika kifo Beit bridge

Nilivyonusurika kifo Beit bridge

Wazimbabwe waliharibuje?
Wazimbabwe ni wasomi sana na Wana akili nzuri mno baada ya nchi Yao kuwa na shida wengi wakaenda SA Sasa ukisikia masuala ya kulilia ajira kwa SA ni kwa sababu ya hao lakini pia ni waharifu wazuri sana as wanajua njia za mipakani so wanapiga tukio Kisha wanarudi kwao faster
Lakini pia ni kawaida ya majirani kutopendana
 
Definitely jamaa wanakuwa na Lab kabisa ni unapigwa operations za maana viungo vinauzwa wanaenda kula nyama na pombe na vile afya iko poa wasingeacha kitu hata pale mpakani wako selective sana
Si unaona mpaka wali kununulia msosi kabisa 😄 daaah yaani kama mfugo unapelekwa mnadani ukizingatia 18yrs viungo vya motomoto
 
Basi hapo wamepoteza point ila way back wao walikuwa na unafuu kidogo
Ila wa tz ni namba ingine SA hata binafsi nilikuwa nawadanganya na wanakubali kuwa mi sio mtz wao walikuwa wanajua mi mkongomani ilinisumbua sana Pretoria kupata msaada ubalozini
Tz ilikuwa ili angalau uaminike kidogo basi wewe sema ni mzanzibar, ila kinyume na hapo ni ngumu sana kuaminiwa.

Hata sisi wenyewe kwa wenyewe hatuaminiani, sembuse watu wa mataifa mengine!
 
Maza yake hakujua kama unaruka na mtoto wake
😂😂😂 huku mama hata akijua kama unaruka na mwanae haina shida, kikubwa mtoto mwenyew awe karidhia tu.

Mimi wakati naanza uhusiano na shemej yako wa huku (mzazi mwenzangu) kwa vile tunaishi nae distance kidogo, basi kuna muda mungine nilikuwa naenda kulala ukweni, na napiga mchi usiku mzima huku mama mkwe anasikia. Maana chumba cha bint na mama yake vilikuwa vimekamatana alafu vyote ni vyumba vya ndani.

Asubuhi utasikia "My son pliz dont disappointed my daughter cause she love you too much more than the way she love anybody here".

Mi namjibu "Don't worry mamaa, i promise you that i will be always there for her".

Nahisi vile vilio na manung'uniko ya usiku mzima vilikuwa vinampa wakati mgumu bimkubwa, ila aliona bora yeye avumilie ili mwanae aendelee kufaidi mikito 🤣🤣🤣.
 
Hawakupi maana nao hawazai sana Lungi nilimkuta na mtoto mmoja na hakuhitaji kabisa kuzaa tena ila mapenzi wanataka siku nzima (holiday)
Pia serikali inamlipa kila mzazi mwenye mtoto ambae hapewi huduma na mzazi mwenzake (baba)

Hivyo wanawatumia watoto kama mtaji wa kupokea hela za malezi kila mwezi kutoka serikalini.
 
😂😂😂 huku mama hata akijua kama unaruka na mwanae haina shida, kikubwa mtoto mwenyew awe karidhia tu.

Mimi wakati naanza uhusiano na shemej yako wa huku (mzazi mwenzangu) kwa vile tunaishi nae distance kidogo, basi kuna muda mungine nilikuwa naenda kulala ukweni, na napiga mchi usiku mzima huku mama mkwe anasikia. Maana chumba cha bint na mama yake vilikuwa vimekamatana alafu vyote ni vyumba vya ndani.

Asubuhi utasikia "My son pliz dont disappointed my daughter cause she love you too much more than the way she love anybody here".

Mi namjibu "Don't worry mamaa, i promise you that i will be always there for her".

Nahisi vile vilio na manung'uniko ya usiku mzima vilikuwa vinampa wakati mgumu bimkubwa, ila aliona bora yeye avumilie ili mwanae aendelee kufaidi mikito 🤣🤣🤣.
Alikuwa sio mwanafunzi lakn 😁
 
Hata kwa abiria aliyepanda basi la moja kwa moja kutokea Dar kwenda SA kupitia Zimbabwe anaweza kukutana na hiyo changamoto ya kiusalama?
Inawezekana endapo hutakuwa na makaratasi ila hii tunaongelea way back kabla ya 2015 Sasa nadhani taratibu zimebadirika ila SA bado haijabadilika inabaki kuwa nchi hatari
 
Back
Top Bottom