Nilivyonusurika kifo Beit bridge

Nilivyonusurika kifo Beit bridge

Kwanini uliishia mpakani na kurudi nyumbani mkuu?
Ckuwa na chochote. ilikuwa ile miaka ya uenda wazim kuzamia. Nikapenya mpaka pale askari mmoja mzungu akaniuliza maswali flan akaniachia ile naanza kuingia askari mmoja mswahili akanistopisha ile kuniuliza baadhi ya mambo ckuwa na majibu japo nilikuwa na hela flan. Wakanikamata. Nikapikiwa kwenye gar nyumban. Kipindi hicho Harare ilikuwa safi Nairobi inasubiri
 
Hahaha pole sana aisee. Kweli ulikuwa na bahati mbaya mkuu, maana ungefanikiwa kupenya maybe saa hizi ungekuwa mbali kimaisha.

Kuhusu Harare mpaka sasa bado iko vizuri, japo upatikanaji wa kazi, na gharama za maisha zimepanda ukilinganisha na miaka hiyo.
 
South Africa nimeenda sana karibu miji yote mikubwa. Kuna vinywaji nilikuwa nauza so kwangu hakuna kilichoharibika. Nimezaa na binti mmoja sumu sana. Mwanangu ninae.
 
Aisee mkuu pole kwa yaliokukuta pale BeitBridge. Kiufupi watu wengi wamekutana na madhila makubwa na ya kutisha katika boda ile.

Nashukur Mungu mimi wakati nakuja kwa mara ya kwanz, nilikuwa na marehem mjomba wangu ambae alikuwa ni mwenyej wa muda mrefu hapa Kaburu. Na pia njia nyingi zenye usalama alikuwa anazijua.
Asante ila mi ni Mungu aliingilia kati nje ya hapo nilikuwa sitoboi panahitaji utulivu mkubwa sana na ukiwa na kiongozi Inasaidia ila ukiwa solo tena mara ya kwanza kupotea ni kugusa
 
Ckuwa na chochote. ilikuwa ile miaka ya uenda wazim kuzamia. Nikapenya mpaka pale askari mmoja mzungu akaniuliza maswali flan akaniachia ile naanza kuingia askari mmoja mswahili akanistopisha ile kuniuliza baadhi ya mambo ckuwa na majibu japo nilikuwa na hela flan. Wakanikamata. Nikapikiwa kwenye gar nyumban. Kipindi hicho Harare ilikuwa safi Nairobi inasubiri
Hiyo Niko Musina ilipaki mbele yangu gari jamaa wamefungwa kamba wanapumua kwa shida jamaa akaulizia documents kibabe hatari mi huku nawaangalia wale kwenye gari nao wakiniangalia kwa sura za umepatwa mwanetu nikampa jamaa pass ikiwa safi basi wakaondoka uzuri wao ni docs zikiwa safi hawakuulizi swali lolote wanaondoka
 
Kwenye mihangaiko ya maisha hasa unapokua unapambania malengo yako makubwa,scenerio za hatari ni kawaida sana. Lakini vipi hukupata shemeji mzungu au mzulu huko.
Mzungu hapana nilipata Mxhosa Lungile mi sikuishi sana kwa wazulu nimeishi na WA xhosa na colored
Huyu alikuwa mtoto wa mwenye nyumba nilikuwa namsaidia nauli sana Kila asubuhi mwisho tukawa kwenye mahusiano lakini yalikuwa ya ndani TU sikutaka kufatana kuepuka ligi za wazawa
 
Nataman na mimi siku moja niende huko
Kutembea sawa ila napo hutafurahia ni nchi Ina upweke sana na ukimya uliopitiliza
Mauaji Yako holela sana unakutana na Zulu au Colored anakuomba 10 rand huna risasi au kisu kinatembea saa Moja jioni hakuna mtu nje waliopo ni hatari tupu sidhani kama ni recommended country sana nadhani Namibia ni pazuri zaidi
 
KAZI ni kipimo cha utu
Ni kweli na nashukuru Mungu nilifika mchana na kesho yake nikaanza kazi mama mwenye nyumba aliniambia"you are lucky I lived in cape town four years without a job and you came yesterday today you have a job"
Niliona uchungu wake ila baadae alinipenda sana kutokana na umri sikuwa na mambo mengi Wala migogoro Sasa ye umeme ukiisha nasikia sim TU "William come with power is finished"Binti yake asubuhi namtoa nauli basi maisha yakawa hivyo.
 
Back
Top Bottom