uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 11,499
- 27,281
- Thread starter
- #121
Chuki zipo hadi Sasa na huwa zinalipuka TU hasa pakiwa na hali Tete ya kisiasa eg 2008 palikuwa na shift of power kutoka kwa Thabo kuja kwa ZumaSababu hasa za vurugu zilisukumwa na nini kama unakumbuka?....ni raia wa kundi lipi walilengwa zaidi ?
na response ya serikali ya huko ilikuaje ?
Bado hizo chuki dhidi ya wageni zipo mpaka sasa ?
2021 palikuwa na Ile kesi ya Zuma
Huwa zinalenga maduka hasa ya wasomali wa Ethiopia street vendors hasa wazimbabwe na foreigners wengine
Kimsingi huwa zipo zinapoa na kutokea tena
daaah yaani kama mfugo unapelekwa mnadani ukizingatia 18yrs viungo vya motomoto

