Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,850
- 18,852
Watanzania wengi sio wasomaji wa vitabu, unaweza usirudishe hata hela ya kuchapishaUMUGHAKA itabidi ujitafakari San mnk katika ule Uzi wa mzee makono ile ilifikia viewer 126000 +++ yaani waliosoma tu ,sas huu wa sasa HV umefika laki 132 kwa sas HV na Bado unaendelea sijui itafikia ngapi siju ilo ,ila ninachotaka kukumbia Ni kwamba jitafakari kuangalia namna ya kuzalisha vitabu upige pesa au movie kbsa tengenezaa mnk unajuwaa mnoo kusimulia na kuandika vzr sna