Nilivyomla mke wa mchepuko wa mchumba wangu

Nilivyomla mke wa mchepuko wa mchumba wangu

Ungepiga chini huyu binti tu, hapo umepoteza muda na nguvu zako bure!
 
Oya kukamuliwa mwanamke wako inauma yan haivumiliki ila wanawake hawana formula aseh km hapo jamaa anasema anahudumia km pumb anaichapa vzr lkn bado mwanammke anachepuka dah
 
uongooo et uka hack whatsApp chat hahaha end to end encryption bro duu hii Chai ya maziwa hivi unazan mchezo kupata virus vya kutoboa whatsApp ww
 
Back
Top Bottom