Habarini wakuu ! Leo nimepata muda waku tulia naomba ni share na nyinyi kisa hiki ili muweze kujifunza kama ikiwezekana.
Mwaka 2018 nlienda mkoa K kwa lengo la kutafuta maisha , nlifikia kwa ndugu yangu ambae yeye n askar katika kituo kimoja maeneo Yale , basi nikafika pale na kwakua nilishakua na mawasiliano na ndugu Yule hvyo alikua anatambua fika ugeni wangu una lengo gan.
Basi jamaa akawa anatoa support za hapa na pale nikaishi pale kwa muda pasipo kufanikisha , jamaa akawa ananitia moyo kua mvumilivu na kutokata tamaa basi bhana mtaani pale nikafahamika sana kutokana na style yangu ya uvaaji na haiba yangu ya kutokua muongeaji.
Nikafahamiana na baadhi ya watu pale mtaani wakiwemo mabinti kadhaa nlio watafuna mambo yakawa kama hvyo , katika hizo harakat nikakutana na mdada binti ana age 24 akanivutia sn nikamtongoza na kuingia rasmi kwenye mahusiano.
Tuliongea mengi kama uaminifu na upendo inabidi vitawale kwenye uhusiano huo , tukaishi kwa furaha na aman kiasi kwamba mtaani wakajua Fulani n Mali ya Fulani , basi muda ukaenda mpaka pale mambo yalipo anza Ku change kwa bint ila hakua ana onyesha dalili zozote zile za kua kachange.
Ila nili hisi ana uhusiano na mmoja Kati ya madereva wa serikal aliekua napatikana maeneo yale tulokua tuna ishi , basi nikawa na mchunguza kmy kmy bila ya yeye kujua , dereva yule alikua ana uchangamfu mwingi sana kila tukikutana au akitukuta Mimi na binti , alikua hawez nipita njian bila kunisogeza niendako.
Basi nikakomaa kuchunguza binti kwa muda nikafanikiwa kuhack simu yake na kuanza kupata taarifa nlizo kua nazitaka muda huo na nishapata kibarua nimepanga na binti kahamia geto Yani tunaishi pamoja
Basi nlivyo hack Ile simu niingia whatsap na kukuta ana chat na mens kibao na kutumiana ndolilo bila kuuliza
Nilishangaa sana kwasababu yule binti alikua n mwenye furaha muda wote na kunijali wala hakuwahi nivunjia heshima ndan na nje Kwa jamii ,nikawaza nini kimepmepelekea yeye kuchepuka kama ni chakula , mavazi na huduma zingine nazifanya kadri ya uwezo wangu , chumbani na mpiga show had kuna muda anakua anatetemeka miguu na ukimgusa anaomba pol.
Basi moja kati ya aliokua ana chat nao ni huyo derva wa serikal nikafatilia chat zao nakubaini jamaa hua anatafuna mtoto , nikaumia nakupigia moyo konde kua binti ni wangu na nisha mpenda so n kudeal na dereva ili na yy apate maumivu kama yangu, siku muonyesha binti changes zozote nikatulia tukaishi poa Ila kwa maumivu makali.
Jamaa akawa nakuja home bale nje tunapiga stor na kucheka den anamsalimia demu wake na kusepa zake ,me akat huo nawachora tu nikajua mida hua Wana wasiliana sana ni saa moja usiku had saa 2 time napokua sipo hm , basi siku hio jamaa kamtext bibie whatsap waonane kamic mbususu binti kachomoa yupo period so hawez fanya kama n kiss poa , lakin binti hakua period time hio.
Nikasema Leo nataka niwaone kwa macho yangu , kwel nikawa nafuatilia had wakapanga maeneo ya kukukutania na mm nika sogea mitaa Ile hauikua mbali sana na tulipo kua tuna ishi , nikakuona binti kafika pale kaingia kwenye gari waka kaa mle kama dkk 40 hv den akatoka na kurud hm , mm nika rudi bar nlipokua nimetulia na jamaa zangu nikapiga mbili tatu nikarudi hm.
Nikapokelewa kwa shangwe lile lile la siku zote akaandaa msosi tukala na kudozi akanza taka mchezo Nika mwambia nimechoka tutafanya monii, basi pakakucha nikatimka had job na kuanza kumuwazia jamaa nimfanyie nn , nikabaini kua jamaa ana mke na mtt mmoja so ni iguse familia yake ili na yeye aumie de same au zaid.
Nikaamfuatilia sana had kumjua mkewe nikaamfuatilia na kubaini anapo fanyia kaz na kuanza kujenga mazoea nae ilinichukua muda sana had kuweza kuzoeana nae na kumtongoza had kunikubali si chini ya miez 9 , kunipa mbususu ilichukua mwez na kitu tena, basi nikawa naipasua had baadhi ya watu wakaanza kushuku na kumfikishia taarifa jamaa.
Jamaa akanza ni winda mtaani lakin maeneo ya home haji na akamwambia binti kua natoka na mke wake , binti akaniuliza nikamkatalia kata kata, akanisihi niwe mwaminifu mbona yy hama hizo mambo ,Nika mjibu poa siku ya siku jamaa kanifuata na kuniuliza nika mjibu ndio natoka nae akaleta vurugu tuka amuliwa.
Nikasema mkeka umetiki sasa Nika download dp ya jamaa wote alokua ana chat nao binti nikawa waweka status bila kuandika kitu afu nikazima data , mida narud hm nikawasha data nikakuta binti Ka view afu haja koment kitu , nikarudi hm nimekula kabisa nisije tiliwa sumu , nika mkuta binti kapika mapema na kujilaza sebulen kuniona tu akapiga magot na kuanza kuomba msamaha Nika mwambia nime kusamehe muda sana na ndo maana nipo nae mpaka muda ule.
Hakulala alikesha analia asubuh naenda mtingo na jion kurud nakuta wito wa viongoz wa mtaa nikaenda na jamaa akaitwa na familia yake kisha tuka zungumza hitimisho mimi nilikua nataka tubadirishane wake jamaa achukue wangu na mm ni chukue wake , jamaa akazua ugomvi mkubwa hadi watu na polic wakafika Ila mm nikasimamia pale pale.
Jamaa akawekwa ndan Kwa muda mm nikatulizwa nje tukaitwa tena nika komaa na msimamo wangu jamaa akaanza kelele tena hatimae tuka yamaliza kila mtu abaki na wake na binti nikampiga chin maisha yaka endelea.
NB: UKILA CHA MTU NA CHAKO KITALIWA.
View attachment 2467759