Nilivyokwepa kusingiziwa mimba 3.

Nilivyokwepa kusingiziwa mimba 3.

Ni kweli hata heshima hushuka yaani atakuchulia kama lijinga fulani hivi lisilojitambua. Kwenye magroup yao ya WhatsApp watakusema sana. Mimi nina mfano hai wa jamaa yangu ukimuangalia mtoto na jamaa hawafanani kabisa. Majirani wanasema kuwa mtoto siyo wake, na mhusika wanamjua na majirani wanadai kuwa kabla ya kukutana na jamaa, alishatoa mimba kama 3 hivi mpaka walitaka kumfukuza kwenye huo mtaa. Na baada ya kukutana na jamaa alishawahi kutoa mimba ya mwanaume mwingine.
Hawa viumbe ni balaa sana na sasa hivi wanamsemo wao wa kudanga (Umalaya). Usipotumia akili utajikuta unalea mimba za washikaji.
Tatizo wanaume mnataka wanawake wakamilifu (ambao hawapo) kwani hakuna wanaume wanaofanya maovu humu duniani? Mbona wanaoa na wake zao wanawavumilia? Kwahiyo mmeshaona kwamba kwenye ndoa wa kuvumilia ni mwanamke tu ila mwanaume hatakiwi kuvumilia?
 
Kweli tuwe makini sana brother ..wasiojitambua acha walee watoto wa wanaume wenzao
Mbona wapo wanawake wanaletewa watoto wa wanawake wenzao (michepuko ya waume zao) na wanalea?
 
Mbona wapo wanawake wanaletewa watoto wa wanawake wenzao (michepuko ya waume zao) na wanalea?
Hao wanawake unaowasema unakuta wamekubali kuleo hao watoto kwa hiari yao baada ya kujua hali halisi..lakini nyi mnasingizia mimba kabisa na kumuaminisha mtu kuwa ni mimba yake ..kwa lazima tuwakatae tu
 
Mbona wapo wanawake wanaletewa watoto wa wanawake wenzao (michepuko ya waume zao) na wanalea?
Wewe unaweza lea? Mimi ninayejua mwanamke atakayefanya hayo uliyeandika hapo juu ni yule anayemuabudu Mungu katika roho na kweli. Tofauti na hapo haiwezekani tena kwa wanawake wa sasa. Nitakubishia mpaka kesho kutwa na akikubali kumlea kama hajauliwa basi lazima awe kilema kwa mateso atakayoyapata kutoka kwa mama wa kambo.
 
Tatizo wanaume mnataka wanawake wakamilifu (ambao hawapo) kwani hakuna wanaume wanaofanya maovu humu duniani? Mbona wanaoa na wake zao wanawavumilia? Kwahiyo mmeshaona kwamba kwenye ndoa wa kuvumilia ni mwanamke tu ila mwanaume hatakiwi kuvumilia?
Wapo ila hilo la kusingizia mimba hata shetani mwenyewe anakukana. Kwanini usimpe aliyekupa mimba? Hata kama aliyekupa amekataa lea mwanao siyo unaanza kubebesha majukumu mtu wingine kwa zinaa zako. Wote mnabidi mvumiliane ila la kusingiziwa mimba ni BIG NO. Ni bora ujue huyu siyo mwanangu kuliko unalea mtoto kumbe siyo wako na wanawake walivyo sasa. Utakuta kahangaika na mtoto, mtoto kafikisha miaka 10 baba mtoto anataka mtoto unampa. KIbaya zaidi mnapasha na kiporo kabisa. Mimi mwanamke ni bora aniambie ukweli tu kuwa hiyo mimba siyo yangu nitamsaidia kulea kiroho safi
 
Una nyota ya kusingiziwa mtoto,ya mimba si nyota yako
 
Hao wanawake unaowasema unakuta wamekubali kuleo hao watoto kwa hiari yao baada ya kujua hali halisi..lakini nyi mnasingizia mimba kabisa na kumuaminisha mtu kuwa ni mimba yake ..kwa lazima tuwakatae tu
Umeshasema wamekubali kulea baada ya kujua hali halisi ila siyo kabla kwahiyo na ninyi mkizaa nje wake zenu wakakataa kulea watoto wenu wa nje mtawaelewa?
 
Wewe unaweza lea? Mimi ninayejua mwanamke atakayefanya hayo uliyeandika hapo juu ni yule anayemuabudu Mungu katika roho na kweli. Tofauti na hapo haiwezekani tena kwa wanawake wa sasa. Nitakubishia mpaka kesho kutwa na akikubali kumlea kama hajauliwa basi lazima awe kilema kwa mateso atakayoyapata kutoka kwa mama wa kambo.
Mfano ndo umezalisha nje halafu ukataka umchukue mtoto wako muishi naye na mke wako ila mke wako akakataa kumlea huyo mtoto wa nje utamuelewa mkeo?
 
Ndiyo hata mimi siafiki hilo la mwanamke kumsingizia mumewe mtoto ila mimi naongelea mapungufu mengine wanaume mapungufu mengi ya wake zenu hamtaki kuyavumilia

Ila ninyi mnataka wake zenu wavumilie mapungufu yenu yote wewe umesema mwenyewe mwanamke akizingua unamuacha unatafuta mwingine sasa maana yake si hautaki kumvumilia? Au ulikuwa unamaanisha akizingua vipi?
Wapo ila hilo la kusingizia mimba hata shetani mwenyewe anakukana. Kwanini usimpe aliyekupa mimba? Hata kama aliyekupa amekataa lea mwanao siyo unaanza kubebesha majukumu mtu wingine kwa zinaa zako. Wote mnabidi mvumiliane ila la kusingiziwa mimba ni BIG NO. Ni bora ujue huyu siyo mwanangu kuliko unalea mtoto kumbe siyo wako na wanawake walivyo sasa. Utakuta kahangaika na mtoto, mtoto kafikisha miaka 10 baba mtoto anataka mtoto unampa. KIbaya zaidi mnapasha na kiporo kabisa. Mimi mwanamke ni bora aniambie ukweli tu kuwa hiyo mimba siyo yangu nitamsaidia kulea kiroho safi
 
Umeshasema wamekubali kulea baada ya kujua hali halisi ila siyo kabla kwahiyo na ninyi mkizaa nje wake zenu wakakataa kulea watoto wenu wa nje mtawaelewa?
Mke wangu hawezi kataa kulea mtoto niliemzaa nje kipindi cha ujana wangu ..maana aliapa atakuwa na Mimi katika shida na raha
 
Ilinitokea mara moja,nilikutana na mrembo tukaanza mawasiliano tukahave sex,ila lengo lake nilijua maana kila siku yeye ni kutaka hela tu hamna mambo ya msingi, akaniona mbahili akanipiga chini kila mtu akaendelea kivyake.

Baada ya miezi nne ikatokea siku akanitafuta na kuniambia nimemiss mambo yako kama upo kwako nakuja(nikajiuliza inakwaje wakati kila siku huwa namforce leo anataka mwenyewe?)shetani mbaya nilikuwa nakunywa bia zangu mbili,nikamwambia njoo,akaja na rafiki yake nikawapatia vinywaji hadi wamelewa.Nikaenda kuoga,nikasikia anamropokea mwenzake "baada ya lisaa we ondoka yule jamaa si kakataa hii mimba lazima nimsingizie huyu nalala huku huku leo".

Mwenzake aliondoka yeye akabaki,yaani mi niliposikia hivo hata mood ya sex sikuwa nayo,tulipoanza kulala akaanza romance gafla kashavua kyupi pembeni,nikamwambia leo sina mood kabisa ya sex,dah alilazimisha mi nikagoma kabisa.Kesho yake anataka kubaki tena nikamwambia mi sasa hivi nina mtu si uliniacha,anakuja mda si mrefu please asikukute.
Aisee hakunitafuta tena hadi leo na analea mimba yake mwenyewe.Sasa je nisingesikia wanaropoka na tukasex ,angerudi baada ya mwezi ningepokea matokeo kwa mikono miwili.
 
Mbona wapo wanawake wanaletewa watoto wa wanawake wenzao (michepuko ya waume zao) na wanalea?

Yaani mama huoni kama hapo tu kuna tofauti kubwa sana,

Yaani huyu mwanamke anajua kabisa mtoto sio wake na hahusiki nae hata kidogo na akakubali kumlea

Ni tofauti kabisa na kuaminishwa huyu mtoto ni wako kumbe sio

Bahati mbaya sana huwa hamfungi bakuli mtaropoka tu siku moja kwamba sio wake huyu mtoto

Mwanaume akipiga mimba itakuwa ni makubaliano kuja kulelewa home kama mama atagoma kumlea basi ataishi na mama ake huko aliko
 
Back
Top Bottom