Bikra unayo
JF-Expert Member
- Mar 24, 2026
- 586
- 2,159
Mbna ulichokiongea hakifanani na utaratibu wa ukristo? Mkristo gani huyo anajivunia kukariri mistari ya biblia ili kuonesha umahiri wake?
Hii ni chai bila viungo shehe.
Wakristo hawajivunii kukariri aya za biblia ili kuonesha umahiri kama nyie. Umahiri ni kuelewa na kuyaishi mafundisho sio lazima uhifanyi aya kichwani kama ninyi.
Hii ni chai bila viungo shehe.
Wakristo hawajivunii kukariri aya za biblia ili kuonesha umahiri kama nyie. Umahiri ni kuelewa na kuyaishi mafundisho sio lazima uhifanyi aya kichwani kama ninyi.