Ni kweli kabisa youtube hawana utani kwenye copyright hata kidogo, Mi nafanya maudhui ya games na ninatumia simu kila kitu, Natumia Capcut, alight motion na kidogo Kinemaster. Thumbnails Canva na pixellab ziko poa kabisa kikubwa ni intanet ya uhakika tu. Ila ujuzi utajulia mbele ya safari kadri unavyozidi kwenda. 😅🙏Mkuu kwanza hongera sana kwa kuthubutu. Vipi huwa unatumia laptop au ni just mobile phone? Content zipi ndio una zideliver? Mana nasikia huwa hawataki ucopy sehemu yeyote ile is it true?
Channel 10Channel yako ni ipi?
Sawa mkuu umeni inspire nami kuanza hii kitu nikihitaji some guidance ntakurudia mkuu support yako ni muhimu au vipiNi kweli kabisa youtube hawana utani kwenye copyright hata kidogo, Mi nafanya maudhui ya games na ninatumia simu kila kitu, Natumia Capcut, alight motion na kidogo Kinemaster. Thumbnails Canva na pixellab ziko poa kabisa kikubwa ni intanet ya uhakika tu. Ila ujuzi utajulia mbele ya safari kadri unavyozidi kwenda. 😅🙏
Hongera sana, Unavyowafundisha wengine ndivyo nawe unavyozidi kuwa na experience zaidi.Aina noma mkuu