Nilivyoanza safari ya kuwa Youtuber 😀

Nilivyoanza safari ya kuwa Youtuber 😀

refan

Member
Joined
Feb 14, 2025
Posts
11
Reaction score
17
Wakuu salama? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi nilitaka sana kua youtuber, hivyo nikasema lazima nijaribu nikifeli ni sawa.

Basi nikafungua gmail hatimae channel, safari ya gaming content ikaanza Octoba 2022, Sina ujuzi wowote, muda kidogo nikapigwa strike kadhaa, Nikajifunza, nikaendelea hadi March 2024 nikaingia monetization, safari ikaendelea hadi 2024 sikufanikiwa ku pokea pesa sababu sikufikisha kigezo cha 100$, Hivyo ilivofika April 2024 nikafungua channel nyingine kwasababu channel ya mwanzo ilikua taratibu sana.

Baada ya miezi mitatu (July) nikakubaliwa monetization ilivyofika September nikapokea paychek ya kwanza 109$, vivyo hivyo miezi iliyofuata: Hivyo Nimejifunza kila kitu kinawezekana ukitia bidii na bado napambana nikuze channel yangu zaidi :Usikate tamaa
Screenshot_20250402_125035_Chrome.jpg
 
Wakuu salama? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi nilitaka sana kua youtuber, hivyo nikasema lazima nijaribu nikifeli ni sawa.

Basi nikafungua gmail hatimae channel, safari ya gaming content ikaanza Octoba 2022, Sina ujuzi wowote, muda kidogo nikapigwa strike kadhaa, Nikajifunza, nikaendelea hadi March 2024 nikaingia monetization, safari ikaendelea hadi 2024 sikufanikiwa ku pokea pesa sababu sikufikisha kigezo cha 100$, Hivyo ilivofika April 2024 nikafungua channel nyingine kwasababu channel ya mwanzo ilikua taratibu sana.

Baada ya miezi mitatu (July) nikakubaliwa monetization ilivyofika September nikapokea paychek ya kwanza 109$, vivyo hivyo miezi iliyofuata: Hivyo Nimejifunza kila kitu kinawezekana ukitia bidii na bado napambana nikuze channel yangu zaidi :Usikate tamaaView attachment 3291081
weka chanel yako hapa tu subscribe
 
Back
Top Bottom