Nilivyompokonya kigogo mkubwa mwanamke

Nilivyompokonya kigogo mkubwa mwanamke

Ilikuwa majira ya jioni natoka zangu dubai nashuka mwewe hapo kia kenya

Mwanaume sina wa kunipokea kwa mbali namuona mrembo yupo na kigari flani hivi ki v8 fani hivi cha milion 400

Taratibu nikamsogelea nikamuomba lifti
Akanipa huyoo mpaka katikati ya mji kwa kuwa nilikuwa mcheshi akanipa namba

Wakuu maelezo yasiwe mengi nishamla
Vipi mshahara umepata kwani? Maana si kwa kilio kile.
 
Mkuu kwa nini umenitag? Unataka nikamuombee huyu mzinzi ama? Au tumsubirishe mpaka miezi sita ili aje atubu mwenyewe? 😳😳😳

20261028_215633.jpg
 
Ilikuwa majira ya jioni natoka zangu dubai nashuka mwewe hapo kia kenya

Mwanaume sina wa kunipokea kwa mbali namuona mrembo yupo na kigari flani hivi ki v8 fani hivi cha milion 400

Taratibu nikamsogelea nikamuomba lifti
Akanipa huyoo mpaka katikati ya mji kwa kuwa nilikuwa mcheshi akanipa namba

Wakuu maelezo yasiwe mengi nishamla
Umelewa mapema sana mwanetu.
 
yeye ndiye muanzilishi wa huu uzi wa kulilia mishahara ya TAMISENGA na alikuwa analia seriously, leo anasema ametoka Dubai na alafu V8 ya 400m anaiita "Kigari fulani " 👇🏿

Jf VAR chek mko vizuri 😀
 
Sababu za Msingi za Ndoto Zilizosababishwa na Njaa
    • Hypoglycemia Kali: Ubongo hutegemea kabisa glukosi kufanya kazi. Wakati sukari ya damu inapungua hadi viwango vya chini sana, hudhoofisha umakini, utendaji kazi wa utendaji, na inaweza kusababisha mkanganyiko au mfadhaiko unaojidhihirisha kama ndoto za usiku.
    • Kukosekana kwa Usawa wa Elektroliti: Kufunga kwa muda mrefu au njaa hubadilisha usawa wa madini muhimu (kama vile sodiamu, potasiamu, na magnesiamu) katika damu. Hii huvuruga ishara za umeme za seli za ubongo, mara kwa mara husababisha kichaa cha muda.
    • Ketosis na Msongo wa Mawazo wa Thalamic: Katika njaa kali, mwili hubadilika kabisa na kuchoma mafuta, na kutoa viwango vya juu vya ketoni. Upungufu mkubwa wa lishe unaweza kuzuia mtiririko mzuri wa damu au msongo wa mawazo, vitovu muhimu vya udhibiti katika ubongo, kama vile thalamus, ambayo inaweza kusababisha mabadiliko makali ya kitabia na ndoto za kusikia au kuona.
    • Kuongezeka kwa Hali Zilizopo: Kwa watu wanaoshughulikia matatizo ya kula, shida ya akili, au matatizo ya hisi, msongo wa mawazo wa kimwili kama vile njaa na maumivu huongeza sana udhaifu wa ubongo, na kuongeza kwa kiasi kikubwa uwezekano wa msukosuko usio wa kawaida au mawazo ya udanganyifu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom