Changamoto: Mpenzi wangu akishalewa bia anakua na mwili wa baridi mno

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
40,475
99,169
Habari,

Wakuu Nna mpenz wangu mmoja (Ni Mchepuko Wangu) ni mwanachuo Hapa dsm, Yuko kwenye miaka 20-22 .Kipind tunaanza mahusiano, Changamoto yake Kubwa ilikua Ni aibu. Alikua na aibu sana Kias Cha kushindwa kumfaidi. Solution ikawa Ni kumfundisha kunywa pombe ili aondoe aibu, tuenjoy vizuri.

Nashkuru mungu,
Alikubali na alianza kujifunzia kwenye soft wine, sahivi Hadi zile strong wine anakunywa bila shida. Kuna kipind ilibidi aanze kujifunzia bia. Nikamuanzishia soft beer (zile zenye majina yanayoishia na LIGHT).Alikua anakunywa ila zilikua zinamzidia mno. Ule uchangamfu niloutegemea unapotea kabisa, naghahiri kufanya nae,Naamua kumuacha apumzike tu.

Hivi karibuni kazizoea Sana bia na hazimpelekeshi Kama zamani na akishalewa anakua kwenye mood nzur Sana ya kufanya, anapoteza aibu na anachangamka mno.

Sasa Changamoto Kubwa niliyoiona Ni kwamba uyu akishalewa bia anakua na mwili wa baridi mno, Hii nmeichunguza sio Mara moja Wala Mara mbili. Ni Mara nyingi tu Yaani akishalewa bia tu mwili wake wote unapoa mno. Hadi kule chini nako unakuta kumekua kwa baridi mno.Hii imekua Ni Changamoto sana kwangu.

Mfano Kama kalewa bia afu akapitiwa na usingizi, ukija kumgusa na asistuke. Unaweza kuhisi keshakata roho maana mwili wake wote umepoa mno Kama uliwekwa kwenye friji. Ila kiuhaisia anapumua vizur na ni mzima wa afya.

Nilichokifanya,
Ilinibidi nimrudishe kijanja kwenye kunywa wine, ili kukwepa huo ubaridi. ila Sasa yeye anasema wine hazipendi kivile anapenda sana bia.

Sometimes namnunulia wine, Ila unakuta kaziweka pembeni kaagiza bia anakunywa. Na akishalewa bia ndo vile anarudi kua wa baridi.

Natamani nimwambie UKWELI kua bia zinamfanya anakua na mwili wa baridi mpaka kule chini kunapoa mno ila nashindwa kumueleza, ntaanzaje. Nahisi atajiskia vibaya Sana na yeye ndo anazipenda sana. Sikuhizi Nikienda kwake bila bia au kumwachia Ela ya bia hanielewi kabisa.

Wakuu Nipeni USHAUR,
-Imekaaje Hii, Kuna mtu humu imewai kumtokea?
-Kwanini ubaridi uwe Ni bia TU na sio wine au vilevi vingine
-Naliwekaje wekaje hili (namwambiaje) ili nimtoe uku kwenye bia, Angalau arudi kwenye wine achangamke Kama zamani.

Hii ya kumtamkia wazi kua akishalewa bia anakua na faragha ya baridi naona kama haijakaa sawa kabisa.

Natanguliza shukran
 
Dhambi dhambi dhambi.
Mungu yupo pembeni japo umemtaja lakini unachofanya ni Dhambi.Pombe ni dhambi na tena ukampa mwenzio ni dhambi kisha
Uzinzi ni Dhambi
 
Habari,
Wakuu Nna mpenz wangu mmoja (Ni Mchepuko Wangu) ni mwanachuo Hapa dsm, Yuko kwenye miaka 20-22 .Kipind

Natanguliza shukran
Mtakuja kuua vijana wenzetu. Hao wengi tunao hapa mlimani akilewa unaweza ukamsukutua mpaka ndago. Lakin wapi kwisha habar yake! Nakulaum kumfundisha ulevi kiongoz

Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
 
We ni kijana wa hovyo sana, huoni km umemuhalibia maisha mwenzio kwanza huta muoa,pili unamfundisha kuwa addicted na pombe,siku ukimuacha unategemea ataweza fanya nin? Anaweza kuhalibikiwa zaidi ya hapo alafu unamuweka na Mungu hapo hapo
 
Dhambi dhambi dhambi.
Mungu yupo pembeni japo umemtaja lakini unachofanya ni Dhambi.Pombe ni dhambi na tena ukampa mwenzio ni dhambi kisha
Uzinzi ni Dhambi
Imeandikwa wapi pombe Ni dhambi?
 
We ni kijana wa hovyo sana,huoni km umemuhalibia maisha mwenzio kwanza huta muoa,pili unamfundisha kuwa addicted na pombe,siku ukimuacha unategemea ataweza fanya nin? Anaweza kuhalibikiwa zaidi ya hapo alafu unamuweka na Mungu hapo hapo
Uyu Ni mtu mzima mkuu,
Simlazimishi, ana maamuz yake binafsi ya kukubali au kukataa ninachomwambia
 
Sijawahi kusikia mtu analewa anakua wabaridi aisee

Mjaribu atumie herbs labda zitamfaa
 
Back
Top Bottom