Nilitoa....Nimerudisha

jamani mpenzi salimia, mbona hasira hivo sweetie?
 
Shoga mbona kama wanpenda kupitiliza?!Wantisha sasa mtoto wa watu....
 
Sasa mamie tukijumlisha kiuno kile (yaani ule mzigo wa kilo za kutosha uliotolewa), na jicho hilo hapo hilo, si patachimbika jamani? tuoneeni huruma siye viumbe kwakweli.
 
Wamenikela sana aisee kwa kuniingilia kwenye inteno.

eich, ntakuwa nimepitwa, siikumbuki hiyo ilotolewa: hebu niforwadie mamii teh teh, maana hasira zilvokushka mpaka nakuonea huruma! duh.
 
..Ukombozi wa kweli wa kijinsia utapatikana pale tutakapoacha kutumia viungo vya miili yetu kama 'mitaji'!
 
Dah!! Kumbe nimepitwa na vingi......hii "via mobile" inanibania nisilione hilo jicho licha ya kukodoa mijicho yangu!!
 
Aaafu weee sharobaro hiphop avatar yako nayo haiendani na maadili, hicho kinachoning'inia ni kifurushi cha nini? zambarau au?
ohhh, ujue ndizi moja apple mbili saizi yake. Kwani imekukera beibei?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…