Uko sahihi mkuu Niko naandaa kwa ubora zaidi ili iwe na manufaa zaidi ya kuwasaidia watu wengi hasa vijana wenzangu,nimefrahi sana kuona wengi wana shauku ya kujua,

We Jamaa itachukua muda sana kufanikiwa. Unaelimisha watu halafu unaficha ulikuwa unafanya biashara gani duh? Wewe ni sawa na madereva wa miaka ya 1980's waliokuwa wanafunika Gunia kwenye Gia

Nimefungua faster, kumbe wimbo ule ule, tutakuwa inspired vipi usiposema unafanya biashara gani? Au hutaki tuuige? Kuhusu fursa kweli zipo ila practically ndo vema kujua kwa walio jaribu