Nilitembea jijini Dar es Salaam

Nilitembea jijini Dar es Salaam

huu wimbo unanikumbusha nikiwa na redio ya mbao huko mwanza nikiwa nachunga ng'ombe enzi ziiiile, wanaokumbuka burudani hiyo
 
Attachments

Ehee! Enzi hizo mkuu mi nilikuwa chekechea, naikumbuka siku moja nilitoroka baada ya mwalimu kunichapa, ile nataka kuvuka rd nakutana na mjomba Wangu, alikuwa na pikipiki basi akanipeleka home, bahati nzuri aliishia tu kunihoji, mambo yakaishia hapo. Nilidhani nitaadhibiwa, lkn ni bahati tu mshua alikuwa anasafiri.
 
10945793_350852495118854_906832889_n.jpg na hawa jamaa vipi mnawakumbuka
 
Mkuu na Mimi niwekee SOGEA KARIBU wa Msondo na shukrani kwa Mjomba wa OSS ya Gurumo mkuu...
 
NAKUMBUKA MABASI YA KAMATA/RELWE
SAFARI ZA USIKU
SIGARA WAVUTA NDANI YA BASI (ILIKUWA INARUHUSIWA)
UNASAFIRI NA THERMOS LA CHAI(MANAKE KULIKUWA HAKUNA VIHOTELI BARABARANI)
LAND ROVER MANDOLIN NDIO ILIKUWA GARI YA WAHESHIMIWA(CCM,SERIKALI)
PEUGEOT 404 ILIKUWA GARI YA POLISI
504 GARI ZA MAJAMBAZI
RANGE ROVER SI RUKSA KU PAKI BENKI
HAINA HAJA YA CONDOM,UKITELEZA WAPATA GONO TU,SIO ZAMA HIZI.
KUNA BIA ILIKUWA INAITWA SNOW CAP
BREWERIES WALIKUWA NA ISUZU TX 50 ZA NJANO
BIDHAA NYINGI ZILIKUWA ZIMEANDIKWA MADE IN ARUSHA
KULIKUWA HAKUNA PAD ZA WANAWAKE ...SIJUI WALIKUWA WANATUMIA NINI?
SIKUKUU ZA IDD,ALFAJIRI UNALETEWA VITAFUNWA NYUMBANI HATA KAMA WE SI MUISLAMU
AIR TANZANIA ILIKUWA HAI NAIKUMBUKA serengeti na kilimanjaro.bpeing 737
KULIKUWA NA TRENI ZA KWENDA MOSHI,kituo cha mombo kiliogopeka kwa vibaka na kurushiwa mawe kama hujafunga dirisha(treni zilipita mombo usiku)
n.k
n.k
n.k
n.k
n.k
n.k
n.k
n.k
n.k
n.k
n.k
n.k
 
Mkuu na Mimi niwekee SOGEA KARIBU wa Msondo na shukrani kwa Mjomba wa OSS ya Gurumo mkuu...

kaka muhomakilo nashindwa kuweka kwani hata inbox hakuna sehemu ya kuattach ntaziweka hapa hapa,
 
kwa wale wa zamani wikiend inakaribia, sikiliza kitu cha bwana balisidya na afro 70

..ni mashaka mahangaiko, wema hawana maisha....

Asante sana, huu wimbo wa miaka hiyo una nguvu kuliko wimbo uliotwaa tuzo nyingi za Kili award 2014.
 
huu wimbo unanikumbusha nikiwa na redio ya mbao huko mwanza nikiwa nachunga ng'ombe enzi ziiiile, wanaokumbuka burudani hiyo

Huo wimbo uni kisa cha kweli. Ulitungwa na Emmanuel Joseph na kupigwa na bendi yake iliyoitwa EJO Stars [Emmanuel Joseph Star].
 
Huo wimbo uni kisa cha kweli. Ulitungwa na Emmanuel Joseph na kupigwa na bendi yake iliyoitwa EJO Stars [Emmanuel Joseph Star].

huu wimbo kipindi hicho nilikuwa bado mdogo sana, huwa siusahau, na nyimbo hizi hazipigwi hata redioni wao naona ni ddc na ottu ndio sana hupigwa lakini bend nyingine husikii
 
NAKUMBUKA MABASI YA KAMATA/RELWE
SAFARI ZA USIKU
SIGARA WAVUTA NDANI YA BASI (ILIKUWA INARUHUSIWA)
UNASAFIRI NA THERMOS LA CHAI(MANAKE KULIKUWA HAKUNA VIHOTELI BARABARANI)
LAND ROVER MANDOLIN NDIO ILIKUWA GARI YA WAHESHIMIWA(CCM,SERIKALI)
PEUGEOT 404 ILIKUWA GARI YA POLISI
504 GARI ZA MAJAMBAZI
RANGE ROVER SI RUKSA KU PAKI BENKI
HAINA HAJA YA CONDOM,UKITELEZA WAPATA GONO TU,SIO ZAMA HIZI.
KUNA BIA ILIKUWA INAITWA SNOW CAP
BREWERIES WALIKUWA NA ISUZU TX 50 ZA NJANO
BIDHAA NYINGI ZILIKUWA ZIMEANDIKWA MADE IN ARUSHA
KULIKUWA HAKUNA PAD ZA WANAWAKE ...SIJUI WALIKUWA WANATUMIA NINI?
SIKUKUU ZA IDD,ALFAJIRI UNALETEWA VITAFUNWA NYUMBANI HATA KAMA WE SI MUISLAMU
AIR TANZANIA ILIKUWA HAI NAIKUMBUKA serengeti na kilimanjaro.bpeing 737
KULIKUWA NA TRENI ZA KWENDA MOSHI,kituo cha mombo kiliogopeka kwa vibaka na kurushiwa mawe kama hujafunga dirisha(treni zilipita mombo usiku)
n.k
n.k
n.k
n.k
n.k
n.k
n.k
n.k
n.k
n.k
n.k
n.k

Hii nimeipenda sana japokuwa sikuwepo enzi hizo. Enzi za Mwalimu maisha yalikuwa matamu sana jamani, mlifaidi sana!
 
Back
Top Bottom