Kkimondoa
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 4,453
- 4,933
Ndugu yangu yaani humu jf kina vijitu vina jifanyaga vinajua mambo kumbe havijui lolote vimejaza ujinga kichwan.Nimegundua humu kuna watu wajinga kwa maana ya kutojua nao wanajadili kitaalam
Kwa hiyo daktari akiprescribe dawa ambayo iko contraindicated kwa huyo mgonjwa mfamasia atatoa tu kisa daktari kaandika?Hivi mnadhani mfamasia anasoma miaka minne huwa anasoma nini?
Dawa ni zaidi ya kuijua jina.Kuna taarifa nyingi sana kuhusu dawa ambazo anaezijua vema ni mfamasia
Daktari pia huomba ushauri kuhusu dawa kwa mfamasia na hii ndio maana wanatakiwa kufanya kazi kama timu