Nilitegemea aseme medical attendant asifanye kazi ya Nurse na si kumzuia Nurse kuuza dawa

Nimefuatilia hoja zenu wataalamu wa afya sijaona mkitoa hoja za nguvu zaidi ya kutupiana vijembe na ubabe wa kitaaluma. Kwa nini msipunguze jazba then mkashusha nondo za nguvu ili sisi wengine tupate mwanga?
 
Ivi umejiuliza kuwa kwa nini mfamasia asome pharmacology kwa muda zaidi ya nurse? Halafu sasa unadai eti wafanye kazi inayofanana?
There is something wrong in your brain, think twice before reasoning.
Jiulize pia kwa nini mfamasia anadeal na dawa kwa undani zaidi, sio kwa juju kama nurse.
Hakuna aneyepinga kuwa pharmasist anaenda deeper kuhusu dawa. Kumbuka hapa tunazungumzia uuzaji na ugawaji wa dawa ambazo zimeshatengeneza ambapo mtu unahitaji knowledge ya pharmacokinetis na pharmacodynamics ili ufanye kazi kwa ufanisi na usije toa dawa ambayo ni contraindicated kwa mgonjwa na ndo maana nurse anaweza mshauri ama kumkosoa daktari anapoprescribe dawa kwa mgonjwa kama iko contraindicated. Kuna siku mtakuja kusema nurse asitoe dawa wodini
 
Watu wanaongea tu. Hao wafamasia tunao wa kutosha hasa vijijini.?? Au tunataka kuzuia uuzaji wa dawa hasa vijijini.
Na kama ni kuzuia uuzaji wa dawa vip zahanati zimejitosheleza kwa upatikanaji wa dawa za aina zote.
Nafikiri Waziri angeenda taratibu kwa kuendelea kuzalisha wafamasia wengi ili miaka ya usoni sheria zianze kufanya kazi
 
Huzijui dawa,sema unajua majina ya dawa,unajua Pharmacodynamics wewe?unajua pharmacokinetics wewe?unajua pharmacovigilance ni kitu gani?unajua maana ya ADR?unajua tofauti iliyopo kati ya fluoroquinolones na Penicillins na Macrolides?unaweza kutoa sababu ni kwanini mtu hashauriwi kutumia PCM kwa muda mrefu au wewe unajua ni 2x3 kwa siku 3?na unajiita unazijua dawa?Medicines are beyond knowing their names.....!!!kuona unajua majina ya dawa siyo sababu ya kijiita wewe ni expert wa dawa.....!!wewe ndo wakuchukua Isotretinoin na kumpa mwanamke anaetarajia kupata mimba na ukaona poa tu,wakati ni category X..... Walioenda shule kusomea dawa kwa muda wa miaka minne na zaidi siyo wajinga!Jifunze kiheshimu taaluma za watu....

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujuaji ww, miaka yote niliyouza dawa nilifaham na kuzingatia dawa gani hutolewa wakati gani, na chemical composition yake ni nini, ipi inafaa kwa wajawazito au la, ipi mfano kwa wagonjwa wa pumu, au ipi inafaa kwa vichanga. Ww mambo ya kujua misamiati ya maabara icikufanye ukaona unazijua dawa kuliko anayezitengeneza. Ww umefanya wapi kazi kwa vitendo pamoja na taaluma yako. Ucfikiri lazima uende shule kwenye kila jambo ili uwe expert.
 
Siyo niache ujuaji,najua ninachokisema kwa details,nyie ndo wale quarks,kujua majina ya dawa hakukufanyi kujua dawa,na unastahili kuchukuliwa hatua....!!maana wewe ni sawa na mvamizi....usijitetee kwa ujinga ulioufanya....

Ni bora hao manesi mara 100 kuliko wewe.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo niache ujuaji,najua ninachokisema kwa details,nyie ndo wale quarks,kujua majina ya dawa hakukufanyi kujua dawa,na unastahili kuchukuliwa hatua....!!maana wewe ni sawa na mvamizi....usijitetee kwa ujinga ulioufanya....

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeokoa maisha ya wengi kuliko ww unayetafuta kiki na misamiati ya maabara, Wapo wengi wamesoma wenye mchango wa maana na wasio na mchango, either category you fall. Niache mm na quarks wengine, ww ni layman pamoja na kusoma.
 
Waajiri kwanza manesi wa kutosha ndo watoe hilo katazo. Kuna vituo vingi sana Tanzania hii vina medical attendant mmoja tu. hakuna mfanyakazi yeyote zaidi yake. Huyo medical attendant ndo anazalisha, anafanya kazi za clinician pamoja na kugawa dawa
 
Wagonjwa wapo kila kona ya nchi, habari ya mji au kijijini haina tija. Niseme tu duka lilikuwa Buzuluga, kama hujui ni wapi, mwalimu wako wa jiografia akutolee tamko.
Buzuruga.
Buzuluga

Endelea kupambana na hali yako mkuu, lakini ujue uwepo wa Pharmacy Council pia
 
Umenikumbusha BUZURUGA...kwa bro wangu...anamlaga wifi angu Jenifer Nyalaja hadi ameachika kule Nganza kwa people 1 hv!. Wasalimie Buzu...
 
Mkuu, Njoghomile upo exactly correct "Buzuruga" and not "....lu.."
Eti ananiambia nimuulize ticha wangu wa Jogi anielekeze hiyo sehemu ilipo , wakati yeye hata kuiandika anashidwa.

Bora nimuache aendelee na hali yake tu, maana maelezo ya hizo dawa anayojinasibu ana uzoefu, anajua mwenyewe jinsi anavyoandikaga.
 
Una shida kama msomi wa taifa hili unashang'aa matamshi ya watu. Hili cyo taifa la wenye matamshi kama haya "anavyoandikaga" peke yao. Hicho cyo kiswahili, ni kisukuma pure.
 
Una shida kama msomi wa taifa hili unashang'aa matamshi ya watu. Hili cyo taifa la wenye matamshi kama haya "anavyoandikaga" peke yao. Hicho cyo kiswahili, ni kisukuma pure.
Unashang'aa
Unashangaa

Cyo= kifacebook zaidi.

Siyo= ki GT zaidi(JF).

Pambana na hali yako mkuu.
 
Waajiri kwanza manesi wa kutosha ndo watoe hilo katazo. Kuna vituo vingi sana Tanzania hii vina medical attendant mmoja tu. hakuna mfanyakazi yeyote zaidi yake. Huyo medical attendant ndo anazalisha, anafanya kazi za clinician pamoja na kugawa dawa
Masikini Tanzania!!
 
Nurses waweke sheria za taaluma yao imeingjljwa sana na hao attendants hasa private hospitals
Wa kuweka utaratibu ni serikali na si nurses. Ni sera mbovu au kushindwa kutekeleza sera zilizopo ndiko kumetufikisha hapa
 
Vitu vingine ni vya kuwazika tu. Maduka ya vijijini huko huyo mfamasia utampata wapi?
Kuna tofauti kubwa sana kati ya duka la dawa (pharmacy) na duka la dawa muhimu (addo) hayo ya huko vijijin unayozungumzia ni addo sio pharmacy na kinachozuiwa ni nesi kuuza pharmacy sio addo hizo addo zenu endeleeni tu kuuza hakuna mfamasia mwenye time nazo...
.
Na hiyo mnayoita clinical pharmacology mnayosoma hata mtu mwenye diploma ya pharmacy anaweza kufundisha darasa la Bsc nursing...
.
Na elimu ya dawa haianzii wala haishii kwenye pharmacology...
.
Ukijinasibu kujua dawa kisa na wewe umesoma p'cology utashangaza ulimwengu wa dawa
 
Kwa hiyo unaungana na wenye mawazo madogo kuwa kuuza dawa ni Kazi ya mfamasia? Hivi ukiwa mfamasia unakuwa muuza dawa? Kama wewe ni mfamasia basi unawaaibisha wafamasia
Hayo tuachieni tuuze tusiuze haiwahusu wagonjwa vidonda vinaoza huko surgical wards mmeng'ang'ania pharmacy muda umefika sasa mrudi wodin mkadress wounds achaneni na pharmacy
 
Back
Top Bottom