Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,563
- 217,905
Sheria za nchi zinasemaje ?
Mbona pharmacy ni zenu siku zote. Shida inakuja pale hata kwenye viduka vya dawa muhimu mnataka mtufukuze! Na siku nyingine mtakuja muwazuie nurses wasigawe dawa wodini! Swali langu ni Je, tofauti kati ya progress na prognosis ya ugonjwa kwa mgonjwa aliyeko wodini na yule anayenunua dawa pharmacy ni ipi?Hayo tuachieni tuuze tusiuze haiwahusu wagonjwa vidonda vinaoza huko surgical wards mmeng'ang'ania pharmacy muda umefika sasa mrudi wodin mkadress wounds achaneni na pharmacy