Nilishakuwaga na wangu vs Ndi ndi ndi ndi! vs Yahya

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,099
8,727
Da nimesikia na kutafakari nyimbo za huyu mrembo mbili tu hizi. Kabla sijamfata kumtongoza tayari nishajua kuwa kuna mishikaji alishapita pale na nyimbo akatungiwa.

Ebu sema, Nilishakuwaga na nani? NDI NDI NDI, na Yahaya nani kapigwa dongo la kuuma? Na je mimi niikingia nijiandae kwa song gani maana pale inabidi ukiingia ujue ukitoka tu unatoka na single yako.
 
Back
Top Bottom