Nilisema na Nitasema tena, Polisi ni dhaifu

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,520
86,081
Nimeshaandika mara nyingi sana kuhusu jeshi la polisi, sitaki kukaa kimya eti kwasababu watatutisha ila ukweli lazima usemwe. Jeshi letu liachane na mambo ya siasa, waheshimu kazi zao, wasitumike kwa maslahi ya watu au chama fulani cha kisiasa huku wakijitapa kuwa wako imara.

Wawalinde wananchi na mali zao na ningependa kuona wale ambao waliahaidiwa vyeo kwa kukamilisha mipango fulani basi huu ndio msimu wao, wasipopandishwa hivyo vyeo basi wajue kuwa walitusaliti nasi siku inakuja watatukumbuka.
 
Mpwa nini tena unataka kutuambia? Hilo la udhaifu tunalijua na wao wanalijua.
Kuna jambo la ziada unataka kusema, sema!
 
Ngoja leo niishie hapa Mpwa, nina hasira sana ngoja niendelee pengine na mapumziko kwanza
 
Wakati mwingine punguzia hasira JF usije kuta unaenda kuzimalizia kwa shemeji bure! Mada inaweza kujadiliwa na ikafika mahali yale mazoba ya mtaa ule pale kati yakaingia na ukisoma post zao zilivyojaa ujinga wa utetezi wakati mwingine ni burudani tosha tuu
 
Hahahahhaaa sometimes natamani nimkamate mmoja nimkate mitama
 
Mkuu utakata wangapi mitama wakati wamejaa kama Ranchi ya Kongwa ilivyo jaa ming'ombe?
Hao ni wa kuchukulia hivyo hivyo maana ni mzigo wa kitaifa. Watapukutika wenyewe mpaka wataisha maana nadhani kizazi hicho cha mazoba hawazaliwi tena baada ya kina mama wajawazito kuelewa umuhimu wa chakula bora na matunda wakati wana mimba.
 
yeap unachosema ni kweli kabisa aiseee, ila dah kuna watu wanatia hasiri sana sana
 
Nimeshaandika mara nyingi sana kuhusu jeshi la polisi, sitaki kukaa kimya eti kwasababu watatutisha ila ukweli lazima usemwe. Jeshi letu liachane na mambo ya siasa, waheshimu kazi zao, wasitumike kwa maslahi ya watu au chama fulani cha kisiasa huku wakijitapa kuwa wako imara.

Wawalinde wananchi na mali zao na ningependa kuona wale ambao waliahaidiwa vyeo kwa kukamilisha mipango fulani basi huu ndio msimu wao, wasipopandishwa hivyo vyeo basi wajue kuwa walitusaliti nasi siku inakuja watatukumbuka.
Yaani nina hasira nao aisee. Unaona kbs jinsi yanaingilia mambo yanatumika ndivyo sivyo yamekuwa machumia tumbo tu. Yanakera ile mby. Nikisikia limoja limepigwa huwa nafurahi acha tu. Halafu huyu baba yao hp town aka misifa mtoa mapovu aka makinda na sura yake anayopenda kuweka ' on sale' kila taarifa ya hbr ananikera km nn. Ningejuwa na mguu wa jogoo namlenga ya jicho walahi na Mungu angenisamehe. This is too much aisee loooo
 
Duh nilifikiri niko alone, basi tatizo ni kubwa sana
 
Huna lolote la maana!!
Nime jitahidi ni scrow labda nitakuta umeandika jambo ulilofanyiwa kwa kuonewa hakuna kitu zaidi ya ujinga!!
 
Sitaki mwanangu awe polisi!!! Hawa jamaa ni waonevu wa kutupa, yaani kukupa kesi ya mauaji kwao ni kama kumsukuma mlevi vile.

Mshikaji wangu wamempa murder kimzahamzaha!!!

I hate them....
 
Mkuu utakata wangapi mitama wakati wamejaa kama Ranchi ya Kongwa ilivyo jaa ming'ombe?
Hao ni wa kuchukulia hivyo hivyo maana ni mzigo wa kitaifa. Watapukutika wenyewe mpaka wataisha maana nadhani kizazi hicho cha mazoba hawazaliwi tena baada ya kina mama wajawazito kuelewa umuhimu wa chakula bora na matunda wakati wana mimba.

Nani katoa kitufe cha LIKE jamani?!!

Mbavu zangu hazina spea we mtoto
 
Werrason husemi ukweli kwakua Polisi hawahusiki na kupeleka kesi za mauaji mahakamani. Polisi hukamata na kupeleleza na kupeleka jalada husika kwa mwanasheria wa serikali likiwa na ushahidi uliokusanywa.MS hupitia jalada hilo na akiona kuna ushahidi ndipo huandaa hati ya mashtaka na kuipeleka kesi mahakamani.
 
Ujinga mkubwa zaidi ni kusubiri kusogeza ili uone ubaya niliofanyiwa....huo ndio ujinga mkubwa zaidi. Jifunze kuishi kwa kufikiri beyond borders. kwahio kwasababu sikufanyiwa mimi basi kila kitu kiko okay? Hakuna selfishness kubwa kama hii.
Huna lolote la maana!!
Nime jitahidi ni scrow labda nitakuta umeandika jambo ulilofanyiwa kwa kuonewa hakuna kitu zaidi ya ujinga!!
 
Kinachoshangaza kwa hawa jamaa zetu ni ubabe usio na maana, baadhi yao hekima ni msamiati. Nadhani tumerithi hii tabia kwa wakoloni
 
Mpwa nini tena unataka kutuambia? Hilo la udhaifu tunalijua na wao wanalijua.
Kuna jambo la ziada unataka kusema, sema!
Mpwa na wanazidi kuwa dhaifu, four years later
 
Back
Top Bottom