Nilisema kabla

Nilisema kabla

kuna mtu aliuliza swali humu hao wasichana huo mnakutana nao vilabuni?
 
Mie nashangaa, kuna mtu kaniloga nahisi. Hivi hata ubeba mikoba nimekosa?

Anyway, ngoja nipige twisheni wanafunzi wa fomu wani B.

hahaha tulia mamito, tafuta posho huo mshahara hata usiuulizie.
imekuwaje bingo la katiba likakupita malaki yote hayo? :tape::tape:
 
Hivi wewe una akili kweli??? Au ili mradi tu na wewe uonekane ligi ya ubishi unaiweza!!! Mama yako unaweza kumuomba papuchi?
Kama wewe huna hizo akili, usifikiri wote hawana ee! pole babu kama jiwe limekupata
 
Back
Top Bottom