kwani umeambiwa dushe ni za kuokota?
Nazo zinahitaj kugharamiwa!
mi huwa nawakumbusha mara nyingi hapa, kuwa wanaume tunanyanyasika kwa kujitakia bure!
Sio haki hata kidogo, wataalam wanathibitisha kuwa...ktk sex anaepata utam mnoo... ni jinsia ke, lakin hapohapo muwajibikaji wa kila kitu mpaka gharama ya uwanja mara nyingi mzigo wote ni kwa mwanaume
jamani huu ni uonevu....ni uonevu huu.......tena wa kujitakia!
Maandiko yanasema mmepewa bure toeni bure
Wao sasa wadada kila kitu pesaaa mbele
Mkishatoka hospital kajifunze kiswahili hakuna neno anaitajika ni anahitajikaNa sasa nalisema tena. Msichana yeyote anayefikiria, ni jukumu la Boyfreind kumpa pesa anaitajika kuchekiwa akili kama yupo timamu ama laa. Je Boyfreind ni baba yako? Mume wako?
Tumieni akili wasichana.
usitafsir maandko hvo!MUNGU adhiakiwi!Maandiko yanasema mmepewa bure toeni bure
Wao sasa wadada kila kitu pesaaa mbele
Wengine wanaomba kama wanadai deni. Nusa saa sms ya kukumbusha, nusa saa tena nyingine
Na sasa nalisema tena. Msichana yeyote anayefikiria, ni jukumu la Boyfreind kumpa pesa anaitajika kuchekiwa akili kama yupo timamu ama laa. Je Boyfreind ni baba yako? Mume wako?
Tumieni akili wasichana.
Topik za leo bana, ziko kishari shari tu.
Na mvuluana yeyote kumuomba papuchi girlfriend anatakiwa akchekiwe akili huyo mvulana, girlfriend sio mke wako wala mama yako, Tuwacheni Tulale