Nilirogwa Kigoma nikapona Mtwara

Nilirogwa Kigoma nikapona Mtwara

Mwenyezi Mungu akuongoze upate kuona njia SAHIHI...Unaamini umejizindika kiuchawi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...Mola na akuoneshe ukuu wake...Amina
 
Dawa ya watu kama nyie ni kubandikwa K tu!

Uamke tu ujikute huna Mashine ila una K live na ukijitia kidole unatoka na kiarufu cha K...Halafu tuone kama hujapiga ukunga mbele ya mkeo na kilio juu [emoji23][emoji23][emoji23]...

Walikuwepo wenzio waliojitia wasomi ooh uchawi ni uzushi tu. Wakapiga matukio wakaja kutoa shuhuda humu.
[emoji3][emoji3][emoji3] wee muache tu
 
Dawa ya watu kama nyie ni kubandikwa K tu!

Uamke tu ujikute huna Mashine ila una K live na ukijitia kidole unatoka na kiarufu cha K...Halafu tuone kama hujapiga ukunga mbele ya mkeo na kilio juu 😂😂😂...

Walikuwepo wenzio waliojitia wasomi ooh uchawi ni uzushi tu. Wakapiga matukio wakaja kutoa shuhuda humu.
Tukapime DNA, wewe ni Bujibuji mwingine
 
Promo la ushirikina. Pale kwetu Masanza Kona, mwaka 1988 Wajaluo walikuwa wametengewa kaeneo kao, wakajidai wanajua sana ugagula, walipigwa ndindi kali, wajaluo wote walipukutika
Dah....umenikumbusha mbali sana...enzi hizo nipo kijana mbichi... tunaenda vitani kule Kilwa...vita ya majimaji ...Dah..[emoji2960][emoji23][emoji23]
 
Uliishi Sehemu Gani Ndani Ya Mkoa Wa Kigoma
 
Msaada wa namba ya huyo mzee wa mtwara mkuu, kuna kitu kinanizingua
 
Back
Top Bottom