Tuttyfruity
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 2,414
- 6,394
Mzee toa connection hiyo...
[emoji23][emoji23]Dawa ya watu kama nyie ni kubandikwa K tu!
Uamke tu ujikute huna Mashine ila una K live na ukijitia kidole unatoka na kiarufu cha K...Halafu tuone kama hujapiga ukunga mbele ya mkeo na kilio juu [emoji23][emoji23][emoji23]...
Walikuwepo wenzio waliojitia wasomi ooh uchawi ni uzushi tu. Wakapiga matukio wakaja kutoa shuhuda humu.
Wakuu duniani hapa kuna mambo, acheni tu.
Mimi ni mtu wa kazkazini, mkoa unasifika kwa kutoa makamanda wengi wa jeshi. Katika haya maisha nilimpenda mtoto moja wa kigoma hawa waha.tulishindana kwa kuwa ni mbishi sana na kutaka kunipanda kichwani,baada ya kuchoka ubishi wake ,nilimuonyesha kuwa mimi ni mwanaume tu,nilimpa kipigo cha mbwa mwitu na alienda kuzinduka hospitalini after one week.
Nilivyoenda kumuona nikakutana na babu yake alinipiga tu bega tu na kusema hiyo ndo malipo yako,mimi nilishindwa kumuelewa yule mzee,nilivyorudi nyumbani nikaanza kuhisi maumivu makali sana upande wa bega ule ule aliogusa mzee.
Nikasema ngoja nipige simu ujaluoni yameshanikuta haya.nikawaatarifu wazazi nikafuatwa fasta kigoma.
Nilivyochunguzwa kule nyumbani wakasema kuna kitu kama mdudu hivi kwa bega,yule mtaalam akasema huyu mkimbizeni kwa rafiki yangu mtwara ndani ya siku nne hali yake inaweza kuwa mbaya zaidi.
Nilivyofika kule mtwara ,yule mzee alicheka sana yaani sana,huyo mtaalam wa mtwara,akaniambia huyu mzee aliyekupiga nimfanyaje ,maana ni mzito ila kwangu ni mtoto tu,
Kutokana na maumivu yale nikasema mzee mimi nataka tu kupona akasema hapana hii kitu ni vzr tukirudishe tu kule kule kwa mhusika huyo ili iwe fundisho nikasema sawa.
Ule mdudu nilitolewa na niliiona kwa macho yangu ,kama mnajua mdudu moja hivi anapenda kusukuma kinyesi dizaini fulani hivi anautengeneza kama mduara hivi au mpira ,ndo huyo mdudu na alitoka mzima kabisa.
Yule mzee akaukamata na kuirusha juu akasema Rudi hivyo hivyo kwa aliyekutuma ,alivyoirusha tu juu niliona tu Moshi mrefu hivi .
Kwa hiyo watu wa kigoma ni kweli ni hatari sana ila kwa wamakonde wanaogopa kama ukoma.toka hapo niliamua kujitengeneza sawa sawa.
Na kweli nipo vzr ukinijaribu imekula kwako.
Ukunga ni nursing, au umemaanisha nini?Dawa ya watu kama nyie ni kubandikwa K tu!
Uamke tu ujikute huna Mashine ila una K live na ukijitia kidole unatoka na kiarufu cha K...Halafu tuone kama hujapiga ukunga mbele ya mkeo na kilio juu [emoji23][emoji23][emoji23]...
Walikuwepo wenzio waliojitia wasomi ooh uchawi ni uzushi tu. Wakapiga matukio wakaja kutoa shuhuda humu.
[emoji3][emoji3][emoji3] wee muache tu
Ukunga= Ukelele/YoweUkunga ni nursing, au umemaanisha nini?
Hapo Utakuwa Unajua Haya Maeneo Mpeta, Katoto Mulyabhibhi, Kazuramimba Rungwe Mpya
Ndiyo Ukweli WenyeweBiashara matangazo wakubwa tumeelewa
Dawa ya watu kama nyie ni kubandikwa K tu!
Uamke tu ujikute huna Mashine ila una K live na ukijitia kidole unatoka na kiarufu cha K...Halafu tuone kama hujapiga ukunga mbele ya mkeo na kilio juu [emoji23][emoji23][emoji23]...
Walikuwepo wenzio waliojitia wasomi ooh uchawi ni uzushi tu. Wakapiga matukio wakaja kutoa shuhuda humu.
😂😂😂😂😂😂Jamaa huwa unanifurahisha sana pindi unapowasilisha hoja zako kwa mada za watu nimecheka sana...
Nitakuja pm unipe no ya wa mtwara mkuuNdiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
[emoji16][emoji23][emoji3][emoji28][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji16][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji28][emoji1][emoji1]
Safi koncho habari yakoHabari za mapoteo
MkuuNitakuja pm unipe no ya wa mtwara mkuu
Safi tu tunapotezana mno rafiki yanguSafi koncho habari yako
Kigoma ni balaaa nyiePromo la ushirikina. Pale kwetu Masanza Kona, mwaka 1988 Wajaluo walikuwa wametengewa kaeneo kao, wakajidai wanajua sana ugagula, walipigwa ndindi kali, wajaluo wote walipukutika
.Mkuu Nina mazungumzo na Wewe sanaWakuu duniani hapa kuna mambo, acheni tu.
Mimi ni mtu wa kazkazini, mkoa unasifika kwa kutoa makamanda wengi wa jeshi. Katika haya maisha nilimpenda mtoto moja wa kigoma hawa waha.tulishindana kwa kuwa ni mbishi sana na kutaka kunipanda kichwani,baada ya kuchoka ubishi wake ,nilimuonyesha kuwa mimi ni mwanaume tu,nilimpa kipigo cha mbwa mwitu na alienda kuzinduka hospitalini after one week.
Nilivyoenda kumuona nikakutana na babu yake alinipiga tu bega tu na kusema hiyo ndo malipo yako,mimi nilishindwa kumuelewa yule mzee,nilivyorudi nyumbani nikaanza kuhisi maumivu makali sana upande wa bega ule ule aliogusa mzee.
Nikasema ngoja nipige simu ujaluoni yameshanikuta haya.nikawaatarifu wazazi nikafuatwa fasta kigoma.
Nilivyochunguzwa kule nyumbani wakasema kuna kitu kama mdudu hivi kwa bega,yule mtaalam akasema huyu mkimbizeni kwa rafiki yangu mtwara ndani ya siku nne hali yake inaweza kuwa mbaya zaidi.
Nilivyofika kule mtwara ,yule mzee alicheka sana yaani sana,huyo mtaalam wa mtwara,akaniambia huyu mzee aliyekupiga nimfanyaje ,maana ni mzito ila kwangu ni mtoto tu,
Kutokana na maumivu yale nikasema mzee mimi nataka tu kupona akasema hapana hii kitu ni vzr tukirudishe tu kule kule kwa mhusika huyo ili iwe fundisho nikasema sawa.
Ule mdudu nilitolewa na niliiona kwa macho yangu ,kama mnajua mdudu moja hivi anapenda kusukuma kinyesi dizaini fulani hivi anautengeneza kama mduara hivi au mpira ,ndo huyo mdudu na alitoka mzima kabisa.
Yule mzee akaukamata na kuirusha juu akasema Rudi hivyo hivyo kwa aliyekutuma ,alivyoirusha tu juu niliona tu Moshi mrefu hivi .
Kwa hiyo watu wa kigoma ni kweli ni hatari sana ila kwa wamakonde wanaogopa kama ukoma.toka hapo niliamua kujitengeneza sawa sawa.
Na kweli nipo vzr ukinijaribu imekula kwako.
Nasikiaga mafuta ya Mwamposa yanayeyusha kitambi...Hapa nataka kutunga safari KUTOKA Kigoma Hadi Kawe...kwa ajili ya jayo.Mafuta[emoji16][emoji16]Achana na wachawi...... Nina formula nzuriiiiiiiii ya kupunguza kakijitambi