Nilirogwa Kigoma nikapona Mtwara

Nilirogwa Kigoma nikapona Mtwara

Nakumbuka Miaka ya 90 wazee wetu walipelekwa KGM kulinda mipaka ya Zaire na Burundi , kwa kweli walimalizwa sana na akina mama wa Ujiji pale.
Wengi walisahau familia zao na kufia huko huko
 
Wakuu duniani hapa kuna mambo, acheni tu.

Mimi ni mtu wa kazkazini, mkoa unasifika kwa kutoa makamanda wengi wa jeshi. Katika haya maisha nilimpenda mtoto moja wa kigoma hawa waha.tulishindana kwa kuwa ni mbishi sana na kutaka kunipanda kichwani,baada ya kuchoka ubishi wake ,nilimuonyesha kuwa mimi ni mwanaume tu,nilimpa kipigo cha mbwa mwitu na alienda kuzinduka hospitalini after one week.

Nilivyoenda kumuona nikakutana na babu yake alinipiga tu bega tu na kusema hiyo ndo malipo yako,mimi nilishindwa kumuelewa yule mzee,nilivyorudi nyumbani nikaanza kuhisi maumivu makali sana upande wa bega ule ule aliogusa mzee.

Nikasema ngoja nipige simu ujaluoni yameshanikuta haya.nikawaatarifu wazazi nikafuatwa fasta kigoma.

Nilivyochunguzwa kule nyumbani wakasema kuna kitu kama mdudu hivi kwa bega,yule mtaalam akasema huyu mkimbizeni kwa rafiki yangu mtwara ndani ya siku nne hali yake inaweza kuwa mbaya zaidi.

Nilivyofika kule mtwara ,yule mzee alicheka sana yaani sana,huyo mtaalam wa mtwara,akaniambia huyu mzee aliyekupiga nimfanyaje ,maana ni mzito ila kwangu ni mtoto tu,

Kutokana na maumivu yale nikasema mzee mimi nataka tu kupona akasema hapana hii kitu ni vzr tukirudishe tu kule kule kwa mhusika huyo ili iwe fundisho nikasema sawa.

Ule mdudu nilitolewa na niliiona kwa macho yangu ,kama mnajua mdudu moja hivi anapenda kusukuma kinyesi dizaini fulani hivi anautengeneza kama mduara hivi au mpira ,ndo huyo mdudu na alitoka mzima kabisa.

Yule mzee akaukamata na kuirusha juu akasema Rudi hivyo hivyo kwa aliyekutuma ,alivyoirusha tu juu niliona tu Moshi mrefu hivi .

Kwa hiyo watu wa kigoma ni kweli ni hatari sana ila kwa wamakonde wanaogopa kama ukoma.toka hapo niliamua kujitengeneza sawa sawa.

Na kweli nipo vzr ukinijaribu imekula kwako.
Yesu anatosha.
 
Toka upate backup kwa mzee hata ujasiri wakuongea umeupata
 
Dawa ya watu kama nyie ni kubandikwa K tu!

Uamke tu ujikute huna Mashine ila una K live na ukijitia kidole unatoka na kiarufu cha K...Halafu tuone kama hujapiga ukunga mbele ya mkeo na kilio juu ...

Walikuwepo wenzio waliojitia wasomi ooh uchawi ni uzushi tu. Wakapiga matukio wakaja kutoa shuhuda humu.
Hizo ni POROJO.

Mbona hamkuwawekea wakoloni waliowatesa babu zenu kwa karne nzima?

Na hayo ni mawazo ya KIJINGA TU

Nimeshasema mara nyingi sana hapa kuwa anayejijua ni MCHAWI aniroge, watu wanaishia kubwabwaja tu.

Kama wewe ni mchawi niambie nikuletee nini, kucha, nywele au unyayo ili uniroge.

Watu weusi wamebaki nyuma kimaendeleo kwasababu ya Imani za kichawi badala ya kudeal na uhalisia yaani Elimu, Teknolojia na Juhudi.
 
Dawa ya watu kama nyie ni kubandikwa K tu!

Uamke tu ujikute huna Mashine ila una K live na ukijitia kidole unatoka na kiarufu cha K...Halafu tuone kama hujapiga ukunga mbele ya mkeo na kilio juu ...

Walikuwepo wenzio waliojitia wasomi ooh uchawi ni uzushi tu. Wakapiga matukio wakaja kutoa shuhuda humu.
Ukaaminije ushuhuda wao?

Uliona walivyorogwa na baada ya kurogwa?
 
Back
Top Bottom