Nilipoyaona haya nilijua Magufuli hawezi kusaidia maskini, alichowafanyia Watanzania ni kuwafanya mafukara zaidi

Ninajua hizi thread zitaisha baada ya Uchaguzi Mkuu!

Mtarudi hapa na kuanza kuwatukana watanzania kuwa wajinga kwa kumchagua tena Rais Magufuli!
Baada ya uchaguzi tunaanza na wewe kwanza msemaji wa hao Mafisadi. Hio kujifanya anonymous haitokusaidia. Baada ya oktoba 28 najua tutakutoa chini ya mtaro kama vile alivyotolewa Sadam kule Iraq.
 
Na kwa nini wasaidizi wake hawamwambii, maana kuna mengine yapo wazi kabisa.

Mfano huongezi salary, unapandisha makato ya HESLB, kweli?!
Hii ni moja ya dhambi kubwa na ukatili wa kutisha uliofanywa na huyu jamaa.
 
Ninajua hizi thread zitaisha baada ya Uchaguzi Mkuu!

Mtarudi hapa na kuanza kuwatukana watanzania kuwa wajinga kwa kumchagua tena Rais Magufuli!
Hhhhhhh nilifikiri utaleta mchanganuo mbadala kuonesha kwamba jamaa ni kweli alikua rais wa wanyonge
 
Katenda maovu mengi sana huyu hadi yeye mwenyewe anajistukia na kuamua kupeleka muswaada Bungeni ambao sasa ni sheria eti asishtakiwe kwa maovu yake akiwa Ikulu pamoja na Samia, Jaji Mkuu na Ndugai.

Ivi akisha maliza Urais tukampeleka.mahakamani itakuwaje?
 
Hapa Lumumba buku7 wamejichimbia Kama vile kobe aliyeona adui,wanajipanga namna ya kutetea huu uozo!
 
Mafuta ya kula kindoo cha lita 10 ni shilingi 35,000 hapo ongeza nauli 2,000 na mshahara wa muuzaji walau 1,500 kodi ya frem bado kitambulisho cha mjasiriamali bado, yaani mtu akinunua mafuta ya mia tatu ni kijiko kimoja unampimia, na hela hairudi uliyonunulia, ila hii nchi wengi wetu tumeliwa.
 
Mleta mada unasikitisha Sana namna ya ujengaji hoja wako,

Unadai hatoi ajira halafu muda huo huo unatuambia kaajiri madaktari elfu tatu, hao elfu tatu walioajiriwa hiyo tuite namna gani??
 
Ukweli mkuu,faida labda upate kwa kuuza kindoo tu
 
Ame nunua ndege kumi na moja, nani amefaidika hapo? Mabeberu watengeneza ndege au maskini Mtanzania ambaye hawezi hata kupanda hiyo ndege?
 
Hii ni moja ya dhambi kubwa na ukatili wa kutisha uliofanywa na huyu jamaa.
Wanao mshabikia huyu jamaa ni wale maslahi tuu hakuna kingine. Nina rafiki yangu kanda ya ziwa anamshabikia sana ila sababu wamemchomeka kwenye ajira za tamisemi kupitia CCM.
 
Mleta mada unasikitisha Sana namna ya ujengaji hoja wako,

Unadai hatoi ajira halafu muda huo huo unatuambia kaajiri madaktari elfu tatu, hao elfu tatu walioajiriwa hiyo tuite namna gani??
Wewe ndio huna akili. Unajua kwa mwaka wanatakiwa Madaktari wangapi Nchi hii ?? Hao 1641 alio ajiri kwa miaka 5 unafikiri wanatosha hata mikoa 10 ?? Tatizo Elimu na ufahamu kwa WATANZANIA.
 
Wewe ndio huna akili. Unajua kwa mwaka wanatakiwa Madaktari wangapi Nchi hii ?? Hao 1641 alio ajiri kwa miaka 5 unafikiri wanatosha hata mikoa 10 ?? Tatizo Elimu na ufahamu kwa WATANZANIA.
Hapa asiyekuwa na akili ni wewe kwani umekiri kuwa kuna elfu tano walioajiriwa halafu muda huo huo unasema hatoi ajira, mzima kweli kichwani??
 
Back
Top Bottom