Nilipoyaona haya nilijua Magufuli hawezi kusaidia maskini, alichowafanyia Watanzania ni kuwafanya mafukara zaidi

Hata Lissu angekuwa Rais asingeweza kukupa pesa ili uwe tajiri. Kwa taarifa yako, masikini hawatakaa waishe duniani, na kila taifa linao. Umaskini ni function of mind. Lazima uwe na macho ya fikra ili kuona opportunities, na matumizi bora ya opportunities ndio hutupa utajiri. Wengi wamekwama coz muda mwingi hulalamika tu, na kuilaumu Serikali haitasaidia.
Hujui ukisemacho, rudia kusoma tena nilichoandika
 
Uchambuzi mzuri sana..... Pia Jamaa kauwa private sector zote..... kwa sasa SUMA JKT na NH
NHC wanafagia mpaka barabarani wakati hizo zilikuwa kazi za vikundi vya vijana na wakina mama chini ya halmashauri
 
Magufuli ni psychopath...hafai kuchaguliwa tena...mtu ana roho ya kishetani kama nn bana.

Mara leo maendeleo hayana chama,kesho msipomchagua mbunge wa CCM siwaletei maendeleo...kwa mtu timamu hawezi ongea kauli zenye kujipinga zenyewe kwa zenyewe.
 
Mbowe kapiga pesa za ruzuku na michango ya wabunge zote na hakuna wa kumuuliza. Huyo kibaraka ndio anaweza kusaidia wanyonge?. Mbona hawasaidii, hela ya kampeni wagombea wake aliowatuma sokoni wakiwa na njaa?.
 
Magufuli ni psychopath...hafai kuchaguliwa tena...mtu ana roho ya kishetani kama nn bana.

Mara leo maendeleo hayana chama,kesho msipomchagua mbunge wa CCM siwaletei maendeleo...kwa mtu timamu hawezi ongea kauli zenye kujipinga zenyewe kwa zenyewe.
Magufuli yuko sahihi, wabunge wengi wa Mbowe wana tabia kama ya Mbowe kutafuna hela za mifuko ya jimbo. Chama cha mfukoni hiki lazima wakae Oct 28.
 
Chama cha Mbowe, hakihitaji dola. Mtoeni mwenyekiti pale muwe na uhuru na maendeleo. Mbowe tu kawashinda, CCM mtaiweza wapi.?
Huoni kuwa Mbowe kuwashinda wafuasi wa CHADEMA ni faida kwa CCM? Kama Mbowe kawa Mwenyekiti kwa muda mrefu na chini ya uongozi wake ameshindwa kuitoa CCM madarakani, huoni kuwa ni faida kwa CCM?

Wana CCM wenye akili wanampenda Mbowe kwa sababu anaendelea kuibakisha CCM madarakani, ila nakushangaa wewe....
 
Hongera yako Mkuu. Wenzio tuligubikwa na upofu usio na kifani. Tulikuwa hatuambiwi kitu mbele ya Jiwe. Kumbe duh!
 
Mimi ni mwanachama mzuri sana wa CCM, lakini kadi yangu ya kura haina chama, kwa hali waliyonayo watu wangu mtaani, bila unafiki sitaweza kufuata upepo wa CCM. Kura yangu ni kwa T.A.LISSU. Mgombea ana hoja za msingi sana zinazoonyesha mwanga katika maisha ya watu. Kiukweli tumepatwa matatizo fulani ya kimaisha yanayohitaji kutatuliwa kwa ushirikiano wa ndugu zangu.

Lakini changamoto imekua ni kubwa sana upande wa kifedha isivyo kawaida. CCM mimi ni mwanachama mahiri sana kwenu, lakini kura yangu haipo kwenu, nitaendelea kua mwanachama ccm lakini natakiwa kuwaangalia sana ndugu zangu waweze kuwa na uafadhali kimaisha ili mzigo mkubwa usinielemee mimi. Lussu kura yangu unayo
 
Na kwa nini wasaidizi wake hawamwambii, maana kuna mengine yapo wazi kabisa.

Mfano huongezi salary, unapandisha makato ya HESLB, kweli?!
Huelewi watawala wa Afrika, Rais anakuwa na washauri 100 lakini badala ya kumshauri yeye ndiye anawashauri.
 
Tanzania imeamka, siyo ile ya kulala na kulalama kila siku; subiri October 28 tukutane hapa kujadili mstakhabali wa nchi yetu siyo kujadili siasa na malalamo.
 
Kuwasomesha namba watu ni kitendo cha kuwafanya watu wawe masikini ili watawaliwe kila anakuabudu unampa shibe asiyekuabudu anaisoma namba, hizi ni itikadi za kijamaa, wenzetu ukiwa mjamaa upewi madaraka
 
Back
Top Bottom