Nilipoyaona haya nilijua Magufuli hawezi kusaidia maskini, alichowafanyia Watanzania ni kuwafanya mafukara zaidi

Wanyonge ni wakwako mpaka pale wanapogundua wewe ndo chanzo cha unyonge wao!
kuanzia hapo 'Ndoho tabu' (hakuna matata) inageuka 'wakotoraa' (apigweee!)
CHUNGA SANA!
😅
👊 ✌✌✌💥
 
Acheni bana maisha iko laini tu,kwani hamuoni ma londge yanafurika watu wanameza bia balaa halafu mnasemaje maisha magumu?Embu acheni kula ma bia lundo lundo muone kama vyuma havijalegea.
 
Watumishi wa Umma Tuna jambo letu tarh. 28 October. Huku maofisini ni kusikiliza tu video Clips za Hotuba za Lissu, siyo Wakurugenzi siyo watumishi wa kawaida, Sote tunapasiana clips tu yan

Hii nimeipenda sana! Big up. They can fool some of the people some of the time but they cannot fool all the people all the time!
 
Tunamsubiri ajibu hoja wa kujenga chattle international airport, kumpa ulipaji mkuu mpwa wake na kumpa pasi wamwana wake (Mayanga).
 
Na ni kweli. Inabidi uwe mjinga ili uwe na ujasiri wa kumpigia kura mtu kwa mambo yaloyotajwa katika hoja ya mtoahoja.
Ninajua hizi thread zitaisha baada ya Uchaguzi Mkuu!

Mtarudi hapa na kuanza kuwatukana watanzania kuwa wajinga kwa kumchagua tena Rais Magufuli!
 
Pale mtakapojikuta mmeruka jivu
Sio kuruka majivu. Imagine hiyo hiyo CCM Ina miaka zaidi ya 50, na kila siku inaahidi maji safi, na vyumba vya madarasa au zahanati. Ni matapeli tu na wao.
 
Mimi ni mwanachama mzuri sana wa CCM, lakini kadi yangu ya kura haina chama, kwa hali waliyonayo watu wangu mtaani, bila unafiki sitaweza kufuata upepo wa CCM. Kura yangu ni kwa T.A.LISSU. Mgombea ana hoja za msingi sana zinazoonyesha mwanga katika maisha ya watu. Kiukweli tumepatwa matatizo fulani ya kimaisha yanayohitaji kutatuliwa kwa ushirikiano wa ndugu zangu.

Lakini changamoto imekua ni kubwa sana upande wa kifedha isivyo kawaida. CCM mimi ni mwanachama mahiri sana kwenu, lakini kura yangu haipo kwenu, nitaendelea kua mwanachama ccm lakini natakiwa kuwaangalia sana ndugu zangu waweze kuwa na uafadhali kimaisha ili mzigo mkubwa usinielemee mimi. Lussu kura yangu unayo
Asante ndg kwa kutokuvaa miwani ya mbao.
 
Watu wachache makini wamekuelewa na kweli umewagusa kabisa. 28 Ni siku muhimu Sana kufanya maamuzi magumu
 
Mshaanza kulialia tena, huu uchaguzi CCM itashinda tena kwa kishindo.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA NCHI
 
Sio kuruka majivu. Imagine hiyo hiyo CCM Ina miaka zaidi ya 50, na kila siku inaahidi maji safi, na vyumba vya madarasa au zahanati. Ni matapeli tu na wao.
Mchagueni mnayemtaka Mimi 28 ni Magufuli, wewe mpe wa majimbo hata wa ubwabwa unaweza mpa ni hiari yako hakuna wa kukuzuia
 
Back
Top Bottom