Nilipotea njia

Inabidi na wewe uje kuongeza maneno ya busara huyu mkuyra asinitimue nirudi nilikotoka.


Ni afadhali akutimue kuliko akwambie "fita ni fita mura "

Usijali, kaka Mwita ni mwelewa saana
 
Last edited by a moderator:
Ila hata wewe ni muda sasa.......mzima lakini......?... mwaJ mwaya karibu tena ila mwenzio ninalo .........
Preta mimi nipo sana! ila tu viuchochoro vya humu ndani ni shidaaaaaa! siku hizi napotelea kule juu kuangalia ISIS kama wanakaribia Tanzania yangu au bado, kabla hawajaja koo langu nitakuwa nimelichoma ganzi, hawana msalie mtume wale, miss u mo mah!
 
Last edited by a moderator:
Ngoja niisimamishe ile sala yangu ya kukuombea upumzike kwa amani.

Siku nyingine uwe unaaga.

Sijakusamehe.
 
Ngoja niisimamishe ile sala yangu ya kukuombea upumzike kwa amani.

Siku nyingine uwe unaaga.

Sijakusamehe.

Babu Asprin naomba unisamehe bure. Si unakumbuka kuwa mie ni mmoja wa wajukuu zako kipenzi?
 
Last edited by a moderator:
He!... Boflo mwezangu kanidelete siku hizi.......nilichomkosea hata sikijui.......

Labda kwa sababu hatukumpeleka Boflo kule kwenye lile jumba la Mbezi Beach kula bata.
 
Last edited by a moderator:
Labda kwa sababu hatukumpeleka Boflo kule kwenye lile jumba la Mbezi Beach kula bata.

Yule kumpeleka jumba la mbezi ataharibu..........
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…