Nilipopewa simu ya marehemu......

Wewe ulikua unafanya shughuli zipi mpaka ukapata upenyo wa kuchambua 'mesej' za marehemu?
Na mimi ndo namshanga..kwanza ameanza stori kama vle ni yeye ..baadae anakuja na swaga eti hili limemkuta rafiki yangu.Kama kweli inawezekana marehemu yaliyomkuta ni sehemu ya ule usemi `Malipo ni hapa hapa duniani'
 
Mgiriki, kwanza sihitaji kuungwa mkono zaidi ya ulivyonionyesha ushirikiano wa hoja dhaifu zisizo na afya, na bahati nzuri nimekupata na nakupa bakora za kutosha na kwaniaba ya wengine wenye hoja na mawazo mgando kama ya wewe.

hahahaaaa! Kijana umenivunja mbavu kwa bakora....... Ehee! Jaribu kumalizia hyo tamthiliya labda nitapata maudhui......
 

kijana waambie na wenzio hapa tunakosoana hapa hapa bila kujali ww ni nani kwahyyo unavyokuja kuilaghai hadhira iliyopo hapa jipange sio unakuja na hoja za zma moto
 
hahahaaaa! Kijana umenivunja mbavu kwa bakora....... Ehee! Jaribu kumalizia hyo tamthiliya labda nitapata maudhui......


Usijali mkuu, panda ukamalizie huko mkasa.
Karib sanaaa.....
 
what ever the case, km kisa kinakuhusu wewe mwenyewe basi hakuna shaka kuwa mke wako na huyo marehemu walikuwa wamekusaliti, kwani haiingii akilini utetezi kuwa shoga yake alikuwa anatumia simu ya mkeo kuwasiliana na hawala yake kwa kuogopa kustukiwa na mme wake.

Ndio ujue sasa huyo mkeo ni mke hasa ama kicheche, na kwa kuonyesha kutojutia ugunduzi wako kunaashiria kuwa kesha kubuhu kwa usaliti, na pengine analipa kisasi baada kushtukia michepuko unayofanya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…