Nilipomuamsha shetani wa mme wangu

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mkuu umenichekesha
We bwana we huwa unafurahisha sana reply zako, hivi nikuulize.... "kuna muda na wewe huwa unakasirika kabisa kiasi cha kumwekea mtu mafundo moyoni?"
 
We bwana we huwa unafurahisha sana reply zako, hivi nikuulize.... "kuna muda na wewe huwa unakasirika kabisa kiasi cha kumwekea mtu mafundo moyoni?"
hua inatokea ila nikiamua tu kutoa dukuduku langu bas sina mafundo na siwez kaa bila kusema kilichonikera kwako ili moyo wangu ue na amani
 
Hii simulizi ya kweli au hadithi? Kuna wanawake tuna hali mbaya kichwani hivi?
 
Mkuu hii story kama inaihusu kwa 100% unajua sisi wanaume wapole tusiopenda kuzungumza mpungufu ya ndani huwa yanatokea hivyo ila huwa tunashinda mapambano yote!ila siku zote amini mwanamke ata umpende umesamehe vipi kama atakua amtumiwa na na shetani or huyo mwanamke ni jeuri basi mwisho wake ni majuto
 
Ndio ukome nyoo lione kwanzaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwana kulitafuta mwana kulipata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari mambo naitwa Mr Equator Nimeandika ujumbe huu kuku omba swala moja tu!
Mimi nimetengeza website ya ku share story ambayo ni http://www.equatorstory.com/
Je umekuwa ukipata tabu kupost story zako hapa?
Hili ndo suluhisho lako.
Mimi nataka nkupe nafasi ya kuwa mmoja wapo wa kwanza kutumia hii website
unda account yako na uweze kupost story yako mpya.
 
Nimesoma yote na nimeprint na kumpa mke wangu asome . inaweza kuwa kisa cha funzo. Wanawake mnazingua sana yaani huwa mnafikiri kila mwanaume anachepuka tu na mnafanyaga maamuzi kwa hasira.
 
No woman no cry....Mwanamke anaweza kujenga au kubomoa kila kitu kwa akili hiyohiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…