- Thread starter
- #41
ndio hivyo ndugu kila ukijiangalia unazidi chukia na kuwa na roho za visasiIla mapenzi yanaweza kukupa jeraha lisipone milele.
Ah mi siwezi kukufariji bana.
ndio hivyo ndugu kila ukijiangalia unazidi chukia na kuwa na roho za visasiIla mapenzi yanaweza kukupa jeraha lisipone milele.
Ah mi siwezi kukufariji bana.
Asante mkuu.Pole sana mkuu,
Kuwekeza kwa hawa viumbe sio kabisa
Amen ikawe heri ndugu yangu nisimame tena.Pole brother kila kitu kina sababu omba mungu mambo yataka sawa
Upofu wa upendo ndio chanzo ndugi yangu.kujulikana kwao kulinipa matumaini mambo hayawezi haribikaUlikua Mzembe wa kupindukia kumkopea dem sio mke milioni saba umfungulie duka
Asante dada yangu niombee niweze kuzuia hii chuki na majuto.Nafahamu ni ngumu mno lakini ninakuomba jitahidi umsamehe.
Kwenye kumsamehe vitu vingi sana vitafunguka upande wako bila kutegemea.
Kilicho moyoni mwako kwa sasa ni uchungu.achilia uchungu kwa kumsamehe uambie moyo wako una nafasi ya kufurahia maisha kwa mara nyingine.amini kila kitu hutokea kwa sababu mshukuru Mungu kwa kila kilichotokea kwenye maisha yako ndugu yangu
Asante dada naomba neno lako likawe baraka kwanguPole sana Chapati 2 amini Mungu yupo pamoja na yote hayo unayopitia. Mungu ametuficha mengi mno ila kwa yote yanayotokea yapo chini ya uweza wake
Pia usijione umefika mwisho wa maisha yako ila ona kwamba huu ndio mwanzo wa maisha yako na bado unaweza kuwa bora. Mungu akupe imani na ustahimilivu
asante ndugu yangupole sana kaka
Amen nitaufanyia kazi ushauri wako nduguMpokee YESU kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako, utapata faraja ambayo hatuwezi kukupa. Kingine piga moyo konde na maisha lazima yaendelee. Hayo yaliyokupata naamini ni mipango ya MUNGU na kama sio mipango ya MUNGU ni MUNGU ndio karuhusu yakupate angeweza pia kuzuia hayo yasitokee. Songa mbele kila kitu kinatokea kwasababu, usijilaumu, jikubali songa mbele
Bonge la pointPole sana kama ni kweli
Ifikie wakati sasa wanaume tujitambue, kwani wewe sio wa kwanza kupatwa na mkasa kama huo kwenye maisha, kabla ya kuangalia utamsaidiaje mwanamke umpendae ili kuweza kujikwamua kwenye lindi la umaskini, basi ni vyema kuanza kujipanga na kujiimarisha mwenyewe katika maisha yako kwa kuwa na mikakati na mipango imara.
Hii itatusaidia pale ambapo uliejitolea kumsidia hata asipokujali basi maisha yako hayatotetereka wala kuyumba.
Wanaume tunajiona tuna upendo kiasi kwamba tunajisahau kupenda maisha yetu na kuhamishia upendo wote na kutaka kuwajengea maisha bora tuwapendao, hii tabia mara nyingi huwa inatucost pale tunapopatwa na majanga kwani hao tunaowajengea upendo huwa hawana upendo wa dhati kwetu.
Tuachane na hawa viumbe, wajengewe upendo na familia zao tusiwe watu wa kutumika kama daraja na badala yake mwanamke baada ya kupata mafanikio kiasi wanatuona sisi kama takataka. Na endapo tukipatwa na matatizo ndio wanatuacha njiani kama hawatujui na badala yake ana move on kuelekea kwa mwengine.
Tujifunze kutokana na makosa ya watangu wetu, naamini hata wewe ulishawahi kusikia/kuona mwengine kupatwa na mkasa kama huo kabla yako lakini hukujifunza na kuhisi hautakuwa miongoni mwa watakaopatwa na mkasa kama huo.
Pole sana



Asante ni kweli naumia sana ndugu yangu, na najutia sana kukutana nae namasikitiko mengi ila haisaidii kitupole sana mkuu, nimejaribu vaa uhusika wa unachopitia ukweli huzuni imenitawala, nakushauri umtegemeze mungu kwa kila kitu maana ye ndo muweza wa yote.
Hakuna ajuae kesho yake na kupotea njia ndio kujua njia. Na wengi wetu huwa tunaamini yaliyotokea ni mipango ya Mungu, hivyo ni sehemu ya mitihani ya dunia. Msamehe kwa yaliyotokea, huwezi kujua pia Mungu amekupangia nini kurudisha furaha yako.Asante mkuu natamani ningejua ya kesho nikakwepa kuonana nae ila haisaidii mwenzangu leo anafuraha mimi ninamajuto


Mshukuru Mungu kwa kila jambo.Mkuu yameshatokea huwezi rudisha wakati nyuma.msahau,samehe move on na maisha yakoAsante ni kweli naumia sana ndugu yangu, na najutia sana kukutana nae namasikitiko mengi ila haisaidii kitu
Huyo binti aliwahi Kuja kukupa poleAsante mkuu.
Mkuu napenda kusamehe ila hali yangu kila nikijiona naona nakuwa na moyo mzito kusamehe na kusahau