Nilipata ajali na Mungu akaninusuru

[emoji3][emoji3][emoji3] mi sio CCM bwana, bali nasapoti wagombea wao kwasababu nyie chadema mmeshindwa kusimamisha mgombea anae eleweka.
Wewe kuwa mwananchi kama mimi, yeyote akizingua unamchana!!

Sisi wananchi tuna mahitaji yetu ambayo ni tofauti kabisa na ya wanasiasa.
 
Wewe kuwa mwananchi kama mimi, yeyote akizingua unamchana!!

Sisi wananchi tuna mahitaji yetu ambayo ni tofauti kabisa na ya wanasiasa.
Mimi ni mwananchi mkuu...sipo kisiasa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Unataifisha kwani zilikuwa za Serikali?
 
Sema raia mnajadili mtu kwa historia yake badala ya madhila aliyopata katika kutimiza majukumu yake. Halafu kuhama chama isiwe ugomvi na kutengeneza chuki, lichukuliwe kama chaguo la mtu. Kwa hiyo, mambo ya vyama yasitugawe kabisa.
 
Wamesalitiwa wana hasira
 
Aisee tokea July 2020 kumbe walikua na wewe.

Shida juu ya shida....

Shida ilianzia hapa nadhani...

ILA POLE SANA MZEE MUHIMU UHAI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…