nilipamiss humu ndani

mshana org

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2012
Posts
2,091
Reaction score
620
habari za leo wakuu
Nimemiss nyumbahii kwa siku kadhaa.hii ni baada ya kupata ajali ya gari maeneo ya oldonysambo wiki mbili zilizopita baada ya gari yangu kupasuka gurudumu la mbele na kuacha njia.nashukuru mkanda ulinisaidia sikuumia sana zaidi ya kupata majeraha ya kukatwa na vioo.kwa muda wa siku 4 nililazwa hosptal badae nikaruhusiwa ila pia sikuweza kuingia humu.najua nimekosa mengi humu.yote kwa yote namshukuru mungu kwa kunirudisha tena.
 
Karibu sana mpendwa.
Pia pole kwa ajali.
Umetukuta kama ulivyotuacha.
Nisalimie Chilli wangu.
 
Last edited by a moderator:

dah pole sana my shem... Elizabeth Dominic anajua haya kweli¿¿¿¿¿¿
 
Last edited by a moderator:

pole sana mkuu kwa ajali hiyo...
 

Pole sana kwa ajali.
Mwenyezi Mungu akutie nguvu.
 
Preta mamito jamani.
Mbona mwaniwekea vizingiti kwa mahabuba wangu?
Kipya Kinyemi hicho,kila saa chatajwa.
Chezea Mupya?

wakati ule....kama miaka 20 iliyopita.....nilivyopendaga.....nilihakikisha kila mtu anamjua my la aziz....chezeya kupenda wewe......
 
wakati ule....kama miaka 20 iliyopita.....nilivyopendaga.....nilihakikisha kila mtu anamjua my la aziz....chezeya kupenda wewe......

Hapana chezea kbs.
Kumbe wajua eee?
Afu usiombe awe na vichenchi,mtaani watakomaje thatha jamani?
Bichwa hlo,kama Buldoza.
 
Pole sana mkuu Mkiva,bila shaka hali yako kiafya ishakua tenge
 
Pole sana Mkiva mungu atakuafu usijali niko pamoja nawe kwenye kipindi hiki kigumu
 
Pole sana Mkiva mungu atakuafu usijali niko pamoja nawe kwenye kipindi hiki kigumu

Nashukuru sana tuko pamoja mungu akipenda nitarudi kwenye hali yangu karibuni.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…