Nilionyeshwa picha hii ndotoni

Kuna dalili kubwa Alien wanataka kuwasiliana na wewe......Nicheki PM tukae chini tuyazungumze

Humu wamejaa mapoyoyo haswa hao walio comment juu,huta gain chochote
Nakubaliana na wewe kabisa ,kama aliota kweli ,basi hao ni alliens,wanataka kuwasiliana nae.tazama picha.

 
Hiyo picha niliamka nikachora kwa haraka zaidi nina tabia ya kujielewa nikiwa ndotoni na ninaamini maisha ya ndoto ni halisi nilipoamka sikuzubaa maana ningesaau nikamark mchoro huo haraka mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wwe ni mtu wa kutafuta dini ya kweli huenda hapo ulikua unaoneshwa ipi ya kweli..
Review past activity zako utapata jibu..humu huwezi kupata maana nmeona wamekuletea picha za aliens aka vibwengo
 
Hao alliens wana lengo gani na binadamu
wanakuja duniani kufanya utafiti kama sisi tufanyavyo kwenye sayari nyingine na anga za mbali,wamekua wakifanya hivyo kwa maelfu ya miaka.,kumbuka warusi walienda anga za mbali na wamarekani walienda kwenye mwezi
 
Hao alliens wana lengo gani na binadamu
wanakuja duniani kufanya utafiti kama sisi tufanyavyo kwenye sayari nyingine na anga za mbali,wamekua wakifanya hivyo kwa maelfu ya miaka.,kumbuka warusi walienda anga za mbali na wamarekani walienda kwenye mwezi
 
Duh!, Pole Mkuu maana hadi unaandika naona ulikuwa bado unaota.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…