Nilioachwa

Sweetlol

Senior Member
May 9, 2011
102
24
ni mwezi wa nne tangu niliempenda abadilike na kunitamkia kwamba hana plan yakufunga ndoa na mm tena.ila kinachonipa mawazo nipale nnapokua namuwaza kila siku nakumkumbuka kupita kiasi.pia upande wake hapiti siku moja ikizidi sana mbili bila kunitafuta kwenye cmu..JE KUNAMAPENZI HAPO AU NI MAZOEA NDO YANAYOMFANYA ANIPIGIE?
 
Sweetlol Pole dada yangu but kama alikutamkia hayo anakupigia pigia nini tena? stop kupokea simu zake, weka distance kwa sababu ni bora maumivu ya sasa kuyakabili kuliko unavyoprolong.................... move on kama alikuwa anatingisha kiberiti basi kimejaa.........na kama anakupenda kweli basi arudi jumla kuapologize na mahari yake..................
 
amekuacha mwenyewe halafu anakupigia tena,hapo anakuumiza makusudi na anacheza tu na feelings zako,heri usipokee hata.
 
Yeyote atakayejibu swali hili atakuwa anakupa ama mawazo yake au uzoefu wake tu. Hali halisi utaijua mwenyewe kwa unavyomjua jamaaa yako. Jiulize ilikuwaje aseme hana plan endapo aliahidi mwenyewe hapo kabla. Sometimes madada mnajitangazia uchumba wenyewe wakati mtu hajaomba kukuoa na hapo ndiyo vurugu huanza. Kama aliahidi kukuoa mwenyewe muulize iweje hakutaki tena na anakupigia simu mara kwa mara.

........JE KUNAMAPENZI HAPO AU NI MAZOEA NDO YANAYOMFANYA ANIPIGIE?
 
Huyu anakupenda ila kuna vigezo ameona huna ili uwe mke, unajua kuna vitu hawa wakaka wanaangaliaga kwa mtu ili awe mke, na kama huna haijalishi amekupenda kiasi gani anakumwaga, badili tabia fulanifulani ambazo amekuwa anakulalamikia, ongeza heshima kwa watu wanaowazunguka, namay be kaona humuonyeshi mapenzi ya kweli, vinginevyo acha kupokea simu, unazidi kumpa nafasi ya kukuumiza roho, mpe sababu za kuku miss na kujua umuhimu wako kwake
 
Thanks,Kweli hapo kwenye red umepatia,kila siku anakulalamikia na unarudia hata kama we ni mrembo wa aina gani lazima atakumwaga tu
 
Kiukweli wanaume ni wajanja na wabinafsi ktk sekta ya mapenzi, utakuta jamaa alikumwaga kwa sababu alipata kideti kingine na kikawa na vitu flani zaidi yako kwa mtazamo wake. Baada ya muda anaanza kuhisi kumiss vitu flani kwako vile vile na ndio chanzo cha kukupigia pigia simu ili ikiwezekana adokezee swala la kudu hata kama alishasema mmeachana, na kwa sababu anajua unampenda style ni kukupigia pigia simu ili uje ulainike-lakini ujue hatamwata mtu wake bali atataka aendelee kupata huduma hii kote kote (huu ni ujanja).

Ni wabinafsi kwa sababu wakiachana na mtu hawataki mtu mwingine amchukue huyo dada waliyeachana naye (inawauma kuona demu waliyempiga chini anachanua chini ya mikono ya mwanaume mwingine), na kwa sababu hii wataendelea kufanya usumbufu kwa lengo la kufanya kama kizuizi mwingine asije. Tena utakuta wengine wanadiriki kumwambia ex wao kwa nini unatoka na flan?

Hapo chunga sana labda arudi kwa style aliyoisema MwanajamiiOne (yaani +mahari).
 
ebu angalia maisha yako acha kujiendekeza..jioneshe kuwa una thamani
 
Pole sana.isikuumize sana wewe si wakwanza na wala hutakuwa wa mwisho.
Kwa sasa jifunze kuishi bila yeye kwani maisha lazima yaendele,ila usijiingize mapema kwenye mahusiano mengine kwani ni rahsi kuumizwa tena.muda muafaka ukifika utapata mwenzi.
 
ni mwezi wa nne tangu niliempenda abadilike na kunitamkia kwamba hana plan yakufunga ndoa na mm tena.ila kinachonipa mawazo nipale nnapokua namuwaza kila siku nakumkumbuka kupita kiasi.pia upande wake hapiti siku moja ikizidi sana mbili bila kunitafuta kwenye cmu..JE KUNAMAPENZI HAPO AU NI MAZOEA NDO YANAYOMFANYA ANIPIGIE?

Kwa upande wako inaonekana ulimpenda..lakini kwa upande wake inavyoonekana hana "confidence" nafikiri uamuzi wa kukuacha wewe ulichangiwa na ushauri wa mtu wa tatu..labda rafiki, mzazi etc...

Kwa bahati mabaya ushauri wangu kwako ni kuwa achana nae.. atakuchanganya ..Kama anakupigia au sms ..epuka kuongelea yaliopita..kama mtakumbushia yaliopita kuna uwezekano wa kurudiana..na akikuwacha mara ya pili madhara yake kwako yatadumu muda mrefu,,,
 
ni mwezi wa nne tangu niliempenda abadilike na kunitamkia kwamba hana plan yakufunga ndoa na mm tena.ila kinachonipa mawazo nipale nnapokua namuwaza kila siku nakumkumbuka kupita kiasi.pia upande wake hapiti siku moja ikizidi sana mbili bila kunitafuta kwenye cmu..JE KUNAMAPENZI HAPO AU NI MAZOEA NDO YANAYOMFANYA ANIPIGIE?

Usichanganye vitu dada, hapo kwenye bluu, jamaa hajasema hataki ku du na wewe! mzigo bado ana uhitaji ila hakuna future, sasa wewe chagua kusuka au kunyoa, crystal clear. kama unaumisi mpini, i mean kuchezeana.
 
Umeambiwa hakuna ndoa hujaambiwa hataki mzigo, crystal clear. chagua kusuka au kunyoa
 
ni mwezi wa nne tangu niliempenda abadilike na kunitamkia kwamba hana plan yakufunga ndoa na mm tena.ila kinachonipa mawazo nipale nnapokua namuwaza kila siku nakumkumbuka kupita kiasi.pia upande wake hapiti siku moja ikizidi sana mbili bila kunitafuta kwenye cmu..JE KUNAMAPENZI HAPO AU NI MAZOEA NDO YANAYOMFANYA ANIPIGIE?

Hivi huoni ukimwuliza moja kwa moja utapata majibu ya uhakika kulikoni kutuuliza siye ambao hata hatujui kinachoendelea?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom