mwanakijiji lugusi
Senior Member
- Apr 13, 2016
- 128
- 98
๐๐๐Mkojo wa usiku nilikojolea kwenye jagi la maji ya kunywa.
Kwa hiyo usiku huo hamkunywa maji kabisa? enheee sasa mpaka kunakucha ulipiga vingapi?Nakumbuka ilikuwa 2012 nilienda kwao demu kumpa hi mida saa 3 usiku.Akaniambia dingi hayupo njoo nipo rum kwangu,kidume nikazama nikapewa na mzigo,mambo si yakanoga.Huku kumbe mdingi karudi tayari kafunga na milango yote na funguo akaenda nazo chumbani kwake.Huwezi amini nililala ndani kwao demu mpk asubuhi saa 5 ndo nilitoka.Mkojo wa usiku nilikojolea kwenye jagi la maji ya kunywa.
hahahahaNa mavi ya asubuhi ulinyea kwenye hot pot au wapi
HA! HA! HA!Huwezi amini nililala ndani kwao demu mpk asubuhi saa 5 ndo nilitoka.Mkojo wa usiku nilikojolea kwenye jagi la maji ya kunywa.
Hadithi yako inatufundisha nini?Nakumbuka ilikuwa 2012 nilienda kwao demu kumpa hi mida saa 3 usiku.Akaniambia dingi hayupo njoo nipo rum kwangu,kidume nikazama nikapewa na mzigo,mambo si yakanoga.Huku kumbe mdingi karudi tayari kafunga na milango yote na funguo akaenda nazo chumbani kwake.Huwezi amini nililala ndani kwao demu mpk asubuhi saa 5 ndo nilitoka.Mkojo wa usiku nilikojolea kwenye jagi la maji ya kunywa.
Nimeipenda hiiNa mavi ya asubuhi ulinyea kwenye hot pot au wapi
Una roho mbayaKama Ningekua Me Ndo Baba Ningehakikisha Adhabu Ninayokupa Ungegaili Kuoa Kabsa Na Mwanamke Ndo Kabsaa Kweli Nasema Wewe Na Ye Mngelaani Kuzaliwa