Nilinusurika kubakwa mara mbili na wake za watu

Strange though might sound, ila wabakaji wanawake wapo, nakubaliana na Biblia kua mke mwema anatoka kwa bwana, mimi binafsi nina wivu sana na naamini karma ipo hivyo endapo nitatembeana mke wa mtu possibly wangu nae pia watapita nae , ingawa sio ulinzi tosha kwani naweza nisipite na wake
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sijui hapa tatizo ni wewe wao kwanini ama kuna unachoficha mwanangu.
 
Huwazi km angepata UKIMWI au angefumaniwa Ingekuwaje?
Kwa vile wanaume wa Dar mezoa kulelewa au kutembea na mama zao siwezi kushangaa.
Kutembea na mke wa mtu ni hatari sana kuliko hata unavyofikiria.
Mleta mada hujui maana ya kuwa mwanaume wewe!!
 
Kutembea na mke wa mtu ni hatari sana zaidi ya hata unavyofikiria.
Asilimia ya kudhurika ukigundulika hata kukutwa ni 99%.
Hata mm nikikuta kwangu, napiga kelele za mwizi. Nakubebesha TV au simu na kichapo juu. Sitakuua ila nitakuachia alama ambayo mpk unaingia kaburini utakuwa unanikumbuka.
Kweli kabisa.. Wanaume huwa hatusemi

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Kutembea na mke wa mtu ni hatari sana zaidi ya hata unavyofikiria.
Asilimia ya kudhurika ukigundulika hata kukutwa ni 99%.
Hata mm nikikuta kwangu, napiga kelele za mwizi. Nakubebesha TV au simu na kichapo juu. Sitakuua ila nitakuachia alama ambayo mpk unaingia kaburini utakuwa unanikumbuka.
Wao hudhani ndo uanaume
 
Back
Top Bottom