Nilinusurika kubakwa mara mbili na wake za watu

Labda kama haudindishi vizuri, kuchomoka kwenye mtego wa mwanamke ni kazi sana vinginevyo imani yako ipo juu sana.
Tamaa mbele mauti nyuma, kubakwa hata maandalizi hakuna, kama ana magonjwa ya zinaa utakuja mlilia nani? Think, masculinity isn't about banging girls days and nights
 
Kumbe mwanume unajiuza, shame on your face
To whom? We are mostly chatting anonymously, we barely knowing one another. I wanted to genuinely share the story and a lesson
 
Wanawake wabakaji ni wengi ila kwa kua wanaume wanapenda kubakwa ndo maana wakibakwa matukio hayavumi
 
Strange though might sound, ila wabakaji wanawake wapo, nakubaliana na Biblia kua mke mwema anatoka kwa bwana, mimi binafsi nina wivu sana na naamini karma ipo hivyo endapo nitatembeana mke wa mtu possibly wangu nae pia watapita nae , ingawa sio ulinzi tosha kwani naweza nisipite na wake
Siku nyingine usikubali kwenda chumbani kwake, muende gesti. Ukiwa gesti hawezi sema kabakwa.
 
Back
Top Bottom