Nilinusurika kubakwa mara mbili na wake za watu

Uzi unatia hasira kusoma huu najuta kwànn niumeusoma Daadeq
 
Strange though might sound, ila wabakaji wanawake wapo, nakubaliana na Biblia kua mke mwema anatoka kwa bwana, mimi binafsi nina wivu sana na naamini karma ipo hivyo endapo nitatembeana mke wa mtu possibly wangu nae pia watapita nae , ingawa sio ulinzi tosha kwani naweza nisipite na wake za watu na wangu wakampita nae( may God forbid).

Katika nyakati mbili tofauti nimenusurika kubakwa na wake za watu Kwa kisingizio cha kunipenda ( very ridiculous reason for a married woman). Niliingia kingi, nikajua nimeitwa kumsaidia kitu, kufika ndani ghafla mtu kabadilika, kanishika hataki kuniachia na anasema nikikataa anapiga kelele, daa, niliogopa sana mana sikutarajia. Hawa wote waume zao walikua well-off enough, nimechomoka kiMungu Mungu tu, hadi leo nashindwa kujua nini wanakosa katk ndoa zao.

Ushauri wangu kwa vijana, 17-28, ukiona mke wa mtu humuelewi, akikuita sehem ya faragha, mfano chumbani kwa kigezo cha kumsaidia kazi fulani, au akikuambia anaomba umsindikize sehemu fulani usikubali unless kuwe na mtu mwingine
Wanawake hawawezi kukubaka ndio maana haijatokea. Fikiria jinsi wanawake huku wanavyobakwa kwa kupitia uzi wa kula kimasihara.
 
Japo kweli karma IPO ila wanaume kumwacha mwanamke mwenye uhitaji wa msaada wa mapenzi ni upumbavu ambao hata kuzimu huwezi kwenda ukapokelewa.

We kula tu ikitokea na wako akaliwa usipomuona endelea na maisha ukimuona mpige chini.

Mambo mengine ni mepesi saaaaaana tunayafanya kuwa mazito wenyewe.
 
Unafikiri pesa peke yake ndio kumridhisha mke....???

Anyway mara ya 3 watakubaka kweli hao wanawake!!!!!
 
Strange though might sound, ila wabakaji wanawake wapo, nakubaliana na Biblia kua mke mwema anatoka kwa bwana, mimi binafsi nina wivu sana na naamini karma ipo hivyo endapo nitatembeana mke wa mtu possibly wangu nae pia watapita nae , ingawa sio ulinzi tosha kwani naweza nisipite na wake za watu na wangu wakampita nae( may God forbid).

Katika nyakati mbili tofauti nimenusurika kubakwa na wake za watu Kwa kisingizio cha kunipenda ( very ridiculous reason for a married woman). Niliingia kingi, nikajua nimeitwa kumsaidia kitu, kufika ndani ghafla mtu kabadilika, kanishika hataki kuniachia na anasema nikikataa anapiga kelele, daa, niliogopa sana mana sikutarajia. Hawa wote waume zao walikua well-off enough, nimechomoka kiMungu Mungu tu, hadi leo nashindwa kujua nini wanakosa katk ndoa zao.

Ushauri wangu kwa vijana, 17-28, ukiona mke wa mtu humuelewi, akikuita sehem ya faragha, mfano chumbani kwa kigezo cha kumsaidia kazi fulani, au akikuambia anaomba umsindikize sehemu fulani usikubali unless kuwe na mtu mwingine
Mwanaume habakwi bwege wewe!! ikisimama wewe ndio mbakaji
 
Back
Top Bottom