sijui kama ni kweli....kulala na dada wa tumbo moja haiwezekani na hata haiwezekani KAMWE kusimamisha.......kama ni kweli MMELAANIWA nenda ukatubu.Nje ya uwezo wangu.
Watu wote ni ndugu tumetoka kwa adamu na eva,mengine ni sheria za kibinadamu.kumbuka rutu na binti zake!
sijui kama ni kweli....kulala na dada wa tumbo moja haiwezekani na hata haiwezekani KAMWE kusimamisha.......kama ni kweli MMELAANIWA nenda ukatubu.
Hiyo ni laana hata kwenye vitabu vya dini imeandikwa.
Kumwambia mtu kitu fulani sio sawa haimaanishi unamhukumu.
Alichofanya si sawa na lazima kikemewe hata kama wanadamu tuna makosa.