Mhhh napenda papuchi ila ya blood sistre nooo damn way,,,uyo ushamuendekeza na usingerudia iyo mara ya mwsho,,,apo sasa ni kuvaa koti la ukaka kweli nasio mpenzi,,,ONYESHA MSIMAMO WE WAKIUME
Ninafikiri nakuamini kabisa kuwa mwenye uwezo wakulisimamisha hili swala ni wewe...sema kutoka moyon mwako...HAPANA SITAKI TENA na TUBU kabisa,dada ako akija kwanza muambie huhitaji hata kujadili hilo swala,simamia unachohitaji kuwa mkali haswa....
kabisa ndo maam tuliumbwa tofauti jinsia ww km mwanaume dad yako anakushindaje lkn? km labda nawe ushanogew sawa cz chovyachovya humaliza buyu la asali!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.